Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yatengua matokeo majimbo ya vigogo

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetengua matokeo ya kura za maoni na kuamuru kurudiwa kwa uchaguzi katika majimbo matano, baada ya kubaini kulikuwa na ukiukwaji wa kanuni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma: MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. 
Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga uchaguzi. Kutokana na utata uliokuwa umejitokeza wakati wa zoezi la kujumlisha kura, CCM iliomba kura zihesabiwe upya...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM kupinga matokeo majimbo manne

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimelalamikia utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo uliofanywa kwenye baadhi ya majimbo, hivyo kimekusudia kukata rufaa kupinga matokeo yaliyotangazwa kwenye majimbo manne ambayo ni Mikumi, Kawe, Iringa Mjini na Ndanda.

 

9 years ago

Habarileo

CCM kupinga mahakamani matokeo ya majimbo manne

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kutoridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye majimbo ya Kawe, Ndanda, Mikumi na Iringa Mjini na kimesema kitayapinga matokeo hayo mahakamani.

 

9 years ago

GPL

MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba. Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema watakwenda mahakamani kupinga matokeo ya ubunge majimbo ya; Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam, Mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba amesema kuwa CCM haijaridhishwa na utaratibu wa ukusanyaji na ujumlishaji wa matokeo katika baadhi ya majimbo. Taarifa yote soma hapa chini… ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taarifa ya CCM kunyakua majimbo 176 kati ya majimbo 264 na mengineyo soma hapa

123

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wanachama, wapenzi na washabiki wake na kwa umma Watanzania.

Tathmini ya Upigaji Kura

Kama tulivyoeleza jana, tumeridhishwa na amani na utulivu uliotawala katika sehemu kubwa ya nchi yetu wakati wa zoezi la upigaji kura. Licha ya changamoto zilizojitokeza, ambazo baadhi zimeshughulikiwa, kwa jinsi zoezi la kupiga na kuhesabu kura lilivyoendeshwa kwa uwazi, matokeo ya uchaguzi huu yatakuwa ni...

 

9 years ago

Habarileo

CCM yashinda majimbo 159, Chadema majimbo 35

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa kunyakua majimbo ya uchaguzi 159, ambayo hadi jana yamethibitishwa na wasimamizi waliopewa mamlaka ya kutangaza matokeo hayo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikifuatia kwa kupata majimbo 35.

 

9 years ago

Michuzi

MATOKEO RASMI MAJIMBO 10



 KUPATA ZATOKEO ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Michuzi

MATOKEO RASMI YA MAJIMBO MATATU

UNGUJA-MAKUNDUCHIKUSINI UNGUJA-PAJE
MKOA-LILUNDI 

 

9 years ago

TZToday

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani