Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vigogo serikalini, CCM Z’bar taabani

‘VIGOGO’ katika Serikali ya Muungano, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na watendaji wa CCM ni baadhi ya viongozi walioshindwa katika mchakato wa kura za maoni ndani ya chama hicho tawala.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Nundu: Vigogo serikalini walipewa nyumba na wageni

Waziri wa zamani wa Uchukuzi, Omar Nundu jana aliikalia kooni Serikali kwa kuwakumbatia wageni na kuibua madai kuwa baadhi ya vigogo wa Serikali walipewa nyumba wakati wa kubinafsisha viwanda nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Kashfa ya Tegeta Escrow: Vigogo wawili Serikalini kizimbani

Miezi michache baada ya kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow kutikisa nchi, watumishi wawili waandamizi wa Serikali wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakituhumiwa kupokea rushwa ya mamilioni ya fedha zilizotoka kwenye akaunti hiyo.

 

9 years ago

Mtanzania

Vigogo watwishwa zigo Z’bar

Pg 2*Wamo Dk. Salmin Amour, Mwinyi, Amani Karume

*Zitto amtaka Magufuli atangaze hali ya hatari

*Jumuiya ya Madola yaingilia kati

Na Waandishi Wetu, Zanzibar/Dar

JUHUDI za kusaka suluhu kwa ajili ya kutatua mgogoro wa kisiasa wa Zanzibar zinaendelea, baada ya vigogo kadhaa wa kitaifa na kimataifa kuongezwa katika timu ya mazungumzo.

Taarifa kutoka visiwani huko zinasema, katika kufanikisha mchakato huo imeundwa kamati maalumu inayowashirikisha marais wote wastaafu wa Zanzibar kwa lengo la...

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu: Vigogo serikalini wako bega kwa bega na majangili

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amedai kuwa majangili wote wanaotiwa mbaroni na vikosi vya Askari wa Wanyamapori, wanadaiwa wanatumwa na watu waliopo kwenye ofisi za serikali na wengine nje ya nchi.

 

10 years ago

Vijimambo

CCM YAWASIMAMISHA VIGOGO



Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM.

 

11 years ago

Mwananchi

Adhabu kwa vigogo CCM

Vigogo sita ambao ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaanza kuhojiwa leo, huku wakikabiliwa na adhabu kadhaa ikiwamo ya kufungiwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ikiwa watapatikana na hatia ya makosa yanayowakabili.

 

9 years ago

Mtanzania

Vigogo 32 CCM kumkabili Lowassa

KatuniNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeteua vigogo 32 kuunda kamati ya kampeni za mgombea urais wa chama hicho, Dk. John Magufuli katika kuhakikisha kinashinda Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.

Hatua ya kuteuliwa kwa kamati hiyo ambayo itakuwa chini ya uenyekiti wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, inaelezwa kuwa ni njia ya kukabiliana na nguvu za mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia mwamvuli wa Umoja wa...

 

11 years ago

Habarileo

Dk Mwakyembe, vigogo CCM kunguruma Jan.14

WAKATI macho na masikio ya wakazi wa Mkoa wa Iringa yakielekezwa katika kata tatu zitakazofanya uchaguzi mdogo wa udiwani Februari 9, mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya mkutano mjini Iringa Januari 14, mwaka huu. Mkutano huo umetajwa kulenga kujibu mapigo ya mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliohutubiwa na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa hivi karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani