Kashfa ya Tegeta Escrow: Vigogo wawili Serikalini kizimbani
Miezi michache baada ya kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow kutikisa nchi, watumishi wawili waandamizi wa Serikali wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakituhumiwa kupokea rushwa ya mamilioni ya fedha zilizotoka kwenye akaunti hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
WABUNGE WACHARUKA KASHFA AKAUNTI YA TEGETA-ESCROW NI SHEEEEDA



10 years ago
Habarileo31 May
Vigogo 5 TRL kupandishwa kizimbani kashfa ya mabehewa
MAOFISA watano wa Serikali, wanatarajiwa kupandishwa kizimbani hivi karibuni, kutokana na kashfa ya uagizaji wa mabehewa 274 kutoka India, huku wengine wakitarajiwa kuchukuliwa hatua za kiutawala.
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Kashfa ya ESCROW vigogo watajwa TZ
10 years ago
Mtanzania15 Jan
Vigogo kizimbani mgawo Escrow
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
SAKATA la uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, limeanza kuchukua sura mpya baada ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuwafikisha mahakamani vigogo wawili wa Serikali.
Vigogo hao, waliofikishwa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana, ni Mhandisi Mkuu wa Mradi wa Umeme Vijijini (REA), Theophillo Bwakea na Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa...
10 years ago
Habarileo15 Jan
Escrow yaburuza wawili kizimbani
WATUMISHI wawili waandamizi wa Serikali wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kupokea zaidi ya Sh milioni 485 ambazo ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.
10 years ago
GPL
WASHTAKIWA WAWILI WA SAKATA LA AKAUNTI YA ESCROW WAPANDISHWA KIZIMBANI
10 years ago
Habarileo03 Aug
Vigogo serikalini, CCM Z’bar taabani
‘VIGOGO’ katika Serikali ya Muungano, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na watendaji wa CCM ni baadhi ya viongozi walioshindwa katika mchakato wa kura za maoni ndani ya chama hicho tawala.
11 years ago
Mwananchi21 May
Nundu: Vigogo serikalini walipewa nyumba na wageni
10 years ago
Mwananchi23 Dec
JK: Fedha za Tegeta Escrow ni za IPTL