CCM YAWASIMAMISHA VIGOGO
![](http://3.bp.blogspot.com/-qLW6RoyL_Ls/VPIy1y8OJZI/AAAAAAAAXQs/Xpzf3V_2o30/s72-c/3.jpg)
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
CCM Blog16 Nov
CCM RORYA YAWASIMAMISHA VIONGOZI 16 WALIOSALITI CHAMA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU
Mwenyekiti wa CCM wa wilata hiyo mkoani Mara, Samwel Kiboye amesema Chama kimewapa siku 13 kutoa utetezi wao kabla ya kuvuliwa uanachama
9 years ago
Mtanzania19 Aug
Vigogo 32 CCM kumkabili Lowassa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeteua vigogo 32 kuunda kamati ya kampeni za mgombea urais wa chama hicho, Dk. John Magufuli katika kuhakikisha kinashinda Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.
Hatua ya kuteuliwa kwa kamati hiyo ambayo itakuwa chini ya uenyekiti wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, inaelezwa kuwa ni njia ya kukabiliana na nguvu za mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia mwamvuli wa Umoja wa...
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Adhabu kwa vigogo CCM
9 years ago
Mwananchi01 Dec
Bandari nayo yawasimamisha kazi watatu
10 years ago
Habarileo20 Jul
Vigogo wa urais CCM wageukia ubunge
WIKI moja baada ya CCM kumteua Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli kuwa mgombea wake wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, idadi kubwa ya washindani wake wamegeukia siasa za majimbo.
10 years ago
Habarileo03 Aug
Vigogo serikalini, CCM Z’bar taabani
‘VIGOGO’ katika Serikali ya Muungano, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na watendaji wa CCM ni baadhi ya viongozi walioshindwa katika mchakato wa kura za maoni ndani ya chama hicho tawala.
10 years ago
Mwananchi12 Aug
CCM yatengua matokeo majimbo ya vigogo
11 years ago
Habarileo10 Jan
Dk Mwakyembe, vigogo CCM kunguruma Jan.14
WAKATI macho na masikio ya wakazi wa Mkoa wa Iringa yakielekezwa katika kata tatu zitakazofanya uchaguzi mdogo wa udiwani Februari 9, mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya mkutano mjini Iringa Januari 14, mwaka huu. Mkutano huo umetajwa kulenga kujibu mapigo ya mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliohutubiwa na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa hivi karibuni.
10 years ago
Mtanzania10 Aug
Vigogo CCM Arusha watimkia Chadema
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Mkoa huo, Isack Joseph, wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Ole Nangole na Joseph walifikia uamuzi huo jijini hapa jana na kusema kwa nyakati tofauti wamelazimika kuchukua uamuzi huo kwa kuwa utaratibu wa kumpata mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulikiukwa.
Kwa mujibu wa wana CCM hao, wakati wa mchakato...