Bandari nayo yawasimamisha kazi watatu
Mapya yamezidi kuibuka katika sakata la upotevu wa makontena 349 na ukwepaji kodi, baada ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuwasimamisha kazi maofisa wake watatu kupisha uchunguzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog28 Nov
HAPA KAZI TU: Majaliwa aibukia Bandari na kuwatia mbaroni maafisa kadhaa huku Rais akimsimamisha kazi Kamishna TRA!
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya ghafla bandarini akisalimiana na uongozi wa TRA na TPA.
WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maafisa watano na watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na upotevu wa makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni 80/-.
Akizungumza na viongozi wa Mamlaka ya Bandari pamoja na viongozi wa TRA katika ziara ya kushtukiza leo mchana (Ijumaa, Novemba 27, 2015), Waziri Mkuu amewataka Kamishna...
10 years ago
Vijimambo25 Jan
HII NAYO KALI KUTOKA MTWARA: ETI WAZUNGU WAFANYIWA TAMBIKO BAADA YA MITAMBO KUGOMA KUFANYA KAZI
![](http://api.ning.com/files/VKfK12aD*TXpH1MiWBVN6vaAsDK9RMB6DfVrL9qM*if2kYNZKVtpADLOqHl4k4i64d6vu6DmKWdgOUIenL7cc-gs-Iqchelp/MTWARA....jpg?width=650)
![](http://api.ning.com/files/VKfK12aD*TXSxGDGSDlRTKMkiQlLQ*od7zcn2aAK4epgi*34r6AgVn1J4MJDUl1U6J8gUgEuIKzg7zsdzZMruSFxP2ese2Gc/TAMBIKO.jpg?width=650)
![](http://api.ning.com/files/VKfK12aD*TUYN1h-74iQDgOsv6foSifL0-v56nHKwO18MY0ATU-luw7nE5qZyZj3YiWiCcyOFS9UtSAJdleLEPqaui7RKMOx/TAMBIKO2.jpg?width=650)
Za kitaa kutoka Mtwara zinadai kuwa bibi mmoja aliyeitisha Serikali kuwa ikifanya mchezo na haki za watu wa mkoa huo atabadili gesi kuwa maji, amewapigia tambiko Wafaransa wazungu wa Kampuni ya uchimbaji wa visima vya...
10 years ago
Habarileo17 Feb
Bosi wa Bandari asimamishwa kazi
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande kutokana na kile kilichoelezwa kuwa uendeshaji mbovu wa utoaji wa zabuni.
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Bandari ya Tanga yalalamikia vitendea kazi
10 years ago
Mtanzania10 Oct
Trafiki watatu wafukuzwa kazi
NA RENATHA KIPAKA, BUKOBA
JESHI la Polisi mkoani Kagera limewafukuza kazi askari wake watatu kwa kulifedhehesha jeshi hilo kutokana na kitendo cha kupiga picha inayowaonyesha wawili kati yao wakinyonyana ndimi wakiwa kazini.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe, alisema kitendo kilichofanywa na askari hao kimeshusha hadhi ya jeshi.
Aliwataja askari hao waliofukuzwa ni F.7788 PC Mpaji Mwasumbi, G 2122 PC Fadhili Linga na WP.8898 Veronica...
10 years ago
StarTV19 May
Rais wa Burundi awatimua kazi mawaziri watatu.
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, amewafuta kazi mawaziri watatu, huku maandamano yakiendelea katika mji mkuu kufuatia jaribio la mapinduzi, juma lililopita.
Mawaziri walioachishwa kazi ni wa Ulinzi, mashauri ya nchi za kigeni na biashara.
Mapema hii leo, polisi walifyatua risasi hewani katika mji mkuu Bujumbura, kujaribu kuutawanya umati wa vijana uliokuwa ukifanya ghasia.
BBC
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATATU TEMESA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa tuhuma za kuhusika na upotevu wa sh. milioni 780 zinazotokana na zabuni.
Vile vile, Waziri Mkuu ametoa muda wa miezi miwili kwa taasisi zote za Serikali zinazodaiwa na TEMESA kiasi cha sh. bilioni 25.88 ziwe zimeshalipa na iwapo kuna taasisi itashindwa kulipa deni lake hadi Julai 30,...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-62bVmKZQx40/VSUuzlVsAPI/AAAAAAAHPnU/WrJL2WJrZLw/s72-c/unnamed%2B(58).jpg)
Waziri Wasira awasimamisha kazi watendaji watatu wa RUBADA
Akitoa agizo hilo leo mbele ya Waandishi wa Habari, Waziri Wasira aliwataja Watendaji hao kuwa ni Bwana Aloyce L. Masanja – Kaimu Mkurugenzi Mkuu; Bibi Tabu Ndatulu – Mkurugenzi wa...
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
Jeshi la Polisi Njombe lawafukuza kazi askari wake watatu
Na Edwin Moshi
Jeshi la polisi mkoani Njombe limeamua kuchukua uamuzi mgumu wa kuwafukuza kazi askari polisi wake watatu kwa makosa mbalimbali waliyoyafanya ikiwemo vitendo vibaya kinyume na sheria za jeshi hilo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa mtandao huu na Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe SACP Fulgence Ngonyani (pichani) askari hao waliofukuzwa kazi ni EX.G. 3172 PC Ramadhani Iddi Saidi, EX.G. 9693 PC Emmanuel Morson Lyimo pamoja na EX.G. PC Miraji Jumanne Mtea.
Kamanda Ngonyani...