Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAPANGUA AGIZO LA KAMATI YA UCHAGUZI TFF KUSIMAMISHA UCHAGUZI WA TEFA

Kamati ya uchaguzi ya chama cha soka mkoa wa Dar e salaam DRFA,imeshindwa kutekeleza agizo la lililotolewa na mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF la kusimamisha mchakato wa uchaguzi wa chama cha soka wilaya ya temeke TEFA uliopangwa kufanyika jumapili agosti 23/2015.
Baada ya kupitia kwa umakini kanuni za uchaguzi za TFF za mwaka 2013 ibara ya 6, na kujiridhisha kuwa hakuna kipengele chochote kinachoruhusu kamati ya uchaguzi ya TFF kuingilia kati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAELEKEZA UCHAGUZI WA TEFA KUFANYIKA AGOSTI 23 MWAKA HUU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI         KAMATI ya uchaguzi DRFA inaelekeza kamati ya uchaguzi ya TEFA kufanya uchaguzi wa viongozi,jumapili tarehe 23/08/2015 katika ukumbi wa JKT kama ilivyopangwa kufanyika hapo awali.Kamati pia inapenda  kuutarifu umma kuwa mchakato huu una Baraka zote kutoka TFF,hivyo uingiliaji wowote unakwenda kinyume na ibara ya 6(1)ya kanuni za uchaguzi za TFF 2013 na ibara za 52(6) na 56(6)(a) za katiba ya TFF ambazo zinaelekeza kuwa majukumu ya uchaguzi yapo chini ya...

 

9 years ago

Vijimambo

TFF YAIRUHUSU DRFA KUENDELEA NA MCHAKATO WA UCHAGUZI WA TEFA,KAMA ULIVYOPANGWA KUFANYIKA KESHO.

Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tff imekiruhusu chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA kuendelea na mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa chama cha soka wilaya ya Temeke (TEFA) kama ulivyopangwa na kamati ya uchaguzi ya chama hicho.
Baada ya ruhusa hiyo Uongozi wa DRFA umemuandikia barua katibu wa TEFA Kasim Mustapha ili aijulishe kamati ya uchaguzi ya chama hicho kuendelea na mchakato huo kama kawaida.

Awali TFF iliiandikia barua DRFA kushauri kusimamishwa kwa uchaguzi huo,kutokana na...

 

9 years ago

Habarileo

Mabosi wa uchaguzi TFF, DRFA kuteta

KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti wake Aloyce Komba, inatarajia kukutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Rashid Sadallah kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusu uchaguzi wa Chama cha Soka Temeke (TEFA).

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa

2

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua  Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa  pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

9 years ago

Mwananchi

Kamati ya uchaguzi CCM hadharani

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kamati ya wajumbe 32 mahususi kwa ajili ya kempeni za Uchaguzi Mkuu 2015 chini ya Mwnyekiti Abdulrahman Kinana.

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UCHAGUZI DMV: TAMKO RASMI



“Kwa wanaDMV: Inaelekea kumebakia suitafahamu au tafsiri fulani kuhusu matokeo ya uchaguzi wa DMV 2014 kufuatia takwimu za kura tulizotoa na kuwasilisha kwa bodi ya DMV. 
Tamko hili linaweka wazi mshindi katika kila nafasi iliyogombaniwa. Hivyo kwa mujibu wa matokeo ya kura na wa katiba, wafuatao ndiyo viongozi wapya wa jumuia yetu kwa miaka miwili ijayo:RAIS- Iddy SandalyMAKAMU WA RAIS - Harriet ShangaraiKATIBU- Saidi Mwamende
MAKAMU WA...

 

10 years ago

Habarileo

Kamati Kuu Chadema kutathmini uchaguzi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinatarajia kuitisha kikao cha Kamati Kuu Maalumu ili kujadili matokeo ya uchaguzi wa mitaa na hatua watakazochukua.

 

11 years ago

Mwananchi

Manji avunja Kamati ya Uchaguzi ya Yanga

Uongozi wa Yanga umevunja kamati ya uchaguzi na kutangaza kamati mpya, ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa klabu hiyo utakaofanyika baadaye mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani