Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabosi wa uchaguzi TFF, DRFA kuteta

KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti wake Aloyce Komba, inatarajia kukutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Rashid Sadallah kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusu uchaguzi wa Chama cha Soka Temeke (TEFA).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAPANGUA AGIZO LA KAMATI YA UCHAGUZI TFF KUSIMAMISHA UCHAGUZI WA TEFA

Kamati ya uchaguzi ya chama cha soka mkoa wa Dar e salaam DRFA,imeshindwa kutekeleza agizo la lililotolewa na mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF la kusimamisha mchakato wa uchaguzi wa chama cha soka wilaya ya temeke TEFA uliopangwa kufanyika jumapili agosti 23/2015.
Baada ya kupitia kwa umakini kanuni za uchaguzi za TFF za mwaka 2013 ibara ya 6, na kujiridhisha kuwa hakuna kipengele chochote kinachoruhusu kamati ya uchaguzi ya TFF kuingilia kati...

 

9 years ago

Vijimambo

TFF YAIRUHUSU DRFA KUENDELEA NA MCHAKATO WA UCHAGUZI WA TEFA,KAMA ULIVYOPANGWA KUFANYIKA KESHO.

Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tff imekiruhusu chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA kuendelea na mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa chama cha soka wilaya ya Temeke (TEFA) kama ulivyopangwa na kamati ya uchaguzi ya chama hicho.
Baada ya ruhusa hiyo Uongozi wa DRFA umemuandikia barua katibu wa TEFA Kasim Mustapha ili aijulishe kamati ya uchaguzi ya chama hicho kuendelea na mchakato huo kama kawaida.

Awali TFF iliiandikia barua DRFA kushauri kusimamishwa kwa uchaguzi huo,kutokana na...

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAELEKEZA UCHAGUZI WA TEFA KUFANYIKA AGOSTI 23 MWAKA HUU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI         KAMATI ya uchaguzi DRFA inaelekeza kamati ya uchaguzi ya TEFA kufanya uchaguzi wa viongozi,jumapili tarehe 23/08/2015 katika ukumbi wa JKT kama ilivyopangwa kufanyika hapo awali.Kamati pia inapenda  kuutarifu umma kuwa mchakato huu una Baraka zote kutoka TFF,hivyo uingiliaji wowote unakwenda kinyume na ibara ya 6(1)ya kanuni za uchaguzi za TFF 2013 na ibara za 52(6) na 56(6)(a) za katiba ya TFF ambazo zinaelekeza kuwa majukumu ya uchaguzi yapo chini ya...

 

9 years ago

Mwananchi

DRFA yaukata uongozi mpya wa Tefa, TFF yataka hatua za kinidhamu zichukuliwe

Siku chache baada ya uchaguzi wa Chama cha Soka Temeke (Tefa) kufanyika bado hali haijatulia.

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yashikilia uchaguzi Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeshikilia hatima ya uchaguzi wa Yanga ambao awali ulipangwa kufanyika Juni 15 mwaka huu.

 

11 years ago

Mtanzania

JK kuteta na Watanzania Marekani

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kukutana na Watanzania waishio nchini Marekani Agosti 2, mwaka huu.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Leberata Mulamula, aliwataka Watanzania wote kuhakikisha wanahudhuria mkutano huo.

“Ninapenda kuwaalika Watanzania wote wa maeneo ya DMV pamoja na majimbo mengine ya hapa nchini Marekani kuhudhuria mkutano maalumu wa Rais Jakaya Kikwete Agosti 2, mwaka huu...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : TFF isiingize siasa za uchaguzi kwenye soka

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa litamualika Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa michuano ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki inayoanza mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAKUTANA NA KUTETA NA WASANII BASATA

2Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher Mapunda akizungumza na washiriki wa semina katika ya shirika hilo na Wasanii mbalimbali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraa za la Sanaa nchini BASATA ili kupata elimu juu ya huduma za afya zinazotolewa na shirika hilo kwa vikundi mbalimbali na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali za serikali, kulia ni Mkwabi Fikirini Meneja Udhibiti na ubora na Hans Mwankenja Ofisa Mwandamizi matekelezo.9Msanii aliyeng'ara na...

 

10 years ago

Mtanzania

Profesa Lipumba kuteta na Rais Kikwete

Pg 2Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
SIKU chache baada ya polisi kuwapiga wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), Mwenyekiti wake, Profesa Ibrahim Lipumba, amesema ataonana na Rais Jakaya Kikwete azungumze naye kuhusu jinsi Jeshi la Polisi linavyotumia nguvu dhidi ya raia na kufuta mashtaka dhidi ya wanachama wake.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Profesa Lipumba alisema anashangazwa na hatu ya Jeshi la Polisi kutumia nguvu na hata kuwapiga wanachama wa CUF bila hatia.
“Hali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani