TFF YAIRUHUSU DRFA KUENDELEA NA MCHAKATO WA UCHAGUZI WA TEFA,KAMA ULIVYOPANGWA KUFANYIKA KESHO.

Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tff imekiruhusu chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA kuendelea na mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa chama cha soka wilaya ya Temeke (TEFA) kama ulivyopangwa na kamati ya uchaguzi ya chama hicho.
Baada ya ruhusa hiyo Uongozi wa DRFA umemuandikia barua katibu wa TEFA Kasim Mustapha ili aijulishe kamati ya uchaguzi ya chama hicho kuendelea na mchakato huo kama kawaida.
Awali TFF iliiandikia barua DRFA kushauri kusimamishwa kwa uchaguzi huo,kutokana na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi19 Aug
KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAELEKEZA UCHAGUZI WA TEFA KUFANYIKA AGOSTI 23 MWAKA HUU
10 years ago
Michuzi21 Aug
KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAPANGUA AGIZO LA KAMATI YA UCHAGUZI TFF KUSIMAMISHA UCHAGUZI WA TEFA
Baada ya kupitia kwa umakini kanuni za uchaguzi za TFF za mwaka 2013 ibara ya 6, na kujiridhisha kuwa hakuna kipengele chochote kinachoruhusu kamati ya uchaguzi ya TFF kuingilia kati...
9 years ago
Mwananchi26 Nov
DRFA yaukata uongozi mpya wa Tefa, TFF yataka hatua za kinidhamu zichukuliwe
10 years ago
Habarileo12 Sep
Mabosi wa uchaguzi TFF, DRFA kuteta
KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti wake Aloyce Komba, inatarajia kukutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Rashid Sadallah kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusu uchaguzi wa Chama cha Soka Temeke (TEFA).
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
10 years ago
GPL
MCHAKATO WA UCHAGUZI BARA KUENDELEA- LUBUVA
10 years ago
BBCSwahili06 May
Uchaguzi Mkuu Uingereza kufanyika kesho
10 years ago
Michuzi
UCHAGUZI UNAOTARAJIWA KUFANYIKA KESHO UTAKUWA HURU, HAKI NA WENYE UTULIVU: DK.SHEIN

STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASEZanzibar 24.10.2015RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika kesho utakuwa huru, haki na wenye utulivu na kuwahakikishia washirika wa maendeleo likiwemo Shirika la Misaada la Uingereza (DFID) kuwa Zanzibar itaendea kuwa na amani kwani ndio msingi wa maendeleo.
Dk. Shein aliyasema hayo...
10 years ago
Habarileo20 Aug
Uchaguzi TEFA sasa Jumapili
KAMATI ya uchaguzi ya Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam, (DRFA) imeitaka kamati ya uchaguzi ya Temeke (TEFA) kufanya uchaguzi wa viongozi Agosti 23, kama ilivyopangwa.