Azam, Yanga vita ya kisasi
‘Leo ndiyo leo, asiye na mwana aelekee jiwe’, mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC watakuwa na kibarua kizito mbele ya Yanga ya Marcio Maximo katika mchezo wa Ngao ya Jamii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi16 Sep
UHONDO WA LIGI KUU: Simba na kisasi, Yanga, Azam kasi
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Ni vita Yanga, Azam
KIVUMBI cha Ligi Kuu Tanzania Bara, kinatarajiwa kuendelea tena leo katika viwanja viwili kwa timu ya Yanga kuwakaribisha Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Wakati Yanga...
9 years ago
Habarileo05 Jan
Yanga, Azam ni vita
MIAMBA ya Ligi Kuu Bara, Yanga na Azam leo itashuka kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa kumenyana katika mechi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. Mechi hiyo inatarajiwa kuwa ya vuta nikuvite huku kila timu ikitaka kuonesha ubabe kwa mwenzie baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 katika mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu bara mwaka jana.
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Vita ya Yanga, Azam, Simba
NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
TIMU za Yanga, Azam na Simba, leo zinaingia kibaruani kwa mara nyingine katika viwanja tofauti katika raundi ya 12 ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga, wao watakuwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kuwakabili Stand United ya Shinyanga.
Yanga, wanaoongoza ligi hiyo wakiwa na pointi 27 baada ya kucheza mechi 11, wanashuka dimbani wakitokea mkoani Tanga, ambako wamecheza mechi mbili baina ya Mgambo Shooting na Africans Sports,...
10 years ago
Habarileo31 Jul
Azam, KCCA ni kisasi
AZAM leo itakuwa uwanjani kumenyana na KCCA ya Uganda katika mechi ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame itakayochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
10 years ago
Habarileo05 Aug
Tutalipa kisasi kwa Azam-Mkwasa
KOCHA Msaidizi wa Yanga Charles Mkwasa amesema kuna uwezekano mkubwa wa kushinda katika mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Azam FC ikiwa watafanya maandalizi mazuri.
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Kutoka Zenji Mtibwa Sugar washindwa kulipa kisasi dhidi ya Azam FC (+Pichaz)
Michuano ya Kombe la Mapinduzi imeendelea tena usiku wa January 3 baada ya kuchezwa mchezo wa awali kati ya Dar Es Salaam Young African ya Tanzania bara dhidi ya Mafunzo FC ya visiwani Zanzibar, baada ya mchezo huo kupigwa na Yanga kuibuka na ushindi wa 3-0. Usiku wa January 3 ulichezwa mchezo wa pili wa […]
The post Kutoka Zenji Mtibwa Sugar washindwa kulipa kisasi dhidi ya Azam FC (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Mtanzania23 Sep
Yanga kisasi, Simba ubabe
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
HOMA ya pambano la watani wa jadi imezidi kupanda kwa timu zote kuingia mafichoni, lakini kitakachojiri kwenye mchezo huo ni ama Yanga kufuta uteja au Simba kuendeleza ubabe dhidi ya Wanajangwani hao katika Uwanja wa Taifa Jumamosi hii.
Katika kujiandaa na mechi hiyo, timu zote zimekimbilia visiwani Zanzibar, Yanga ikiwa Pemba tokea Jumapili iliyopita na Simba ilirejea juzi Unguja kwenye kambi ya awali kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara...