Yanga kisasi, Simba ubabe
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
HOMA ya pambano la watani wa jadi imezidi kupanda kwa timu zote kuingia mafichoni, lakini kitakachojiri kwenye mchezo huo ni ama Yanga kufuta uteja au Simba kuendeleza ubabe dhidi ya Wanajangwani hao katika Uwanja wa Taifa Jumamosi hii.
Katika kujiandaa na mechi hiyo, timu zote zimekimbilia visiwani Zanzibar, Yanga ikiwa Pemba tokea Jumapili iliyopita na Simba ilirejea juzi Unguja kwenye kambi ya awali kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Mar
Simba yaendeleza ubabe kwa Yanga
11 years ago
MichuziWABUNGE MASHABIKI WA YANGA WAONYESHANA UBABE NA WENZAO WA SIMBA
10 years ago
Vijimambo31 Dec
KOSHA MPYA WA SIMBA ATUA DAR NA KISASI NA YANGA
![](http://api.ning.com/files/f3Cpy2Teci1WjwDd9a--FKFpDorjT6NSWldK*7fl67saZdWrW68eCw4FSeY9J*0jvg8JkEdJM9eMMucDxp35-aRauAIkucOe/1331248128GoranKopunovic.jpg?width=650)
Na Omary Mdose Wa GPL.KOCHA mpya wa Simba, Goran Kopunovic anaratajia kutua nchini leo saa 1:30 asubuhi akitokea nchini Hungary tayari kuingia mkataba na klabu hiyo na moja kwa moja kwenda Zanzibar.Kopunovic anatua nchini akiwa na ‘hasira’ au ‘kisasi’ kwa watani wa jadi wa Simba, Yanga kwa kuwa waliwahi ‘kumtema’.Miaka mitatu iliyopita, Yanga ilifanya mazungumzo na Kopunovic raia wa Serbia ili atue nchini kuinoa. Lakini wakati akiajiandaa kuja nchini,...
9 years ago
Mwananchi16 Sep
UHONDO WA LIGI KUU: Simba na kisasi, Yanga, Azam kasi
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Ni ubabe uchaguzi Simba
SIKU moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kusitisha uchaguzi mkuu wa Simba, Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo imeibuka na kudai kuwa shirikisho hilo halina mamlaka ya kufanya...
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Wabunge wa Simba wapanga kulipa kisasi
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Azam, Yanga vita ya kisasi
10 years ago
Mwananchi23 Apr
Okwi aiongoza Simba kulipa kisasi Taifa
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...