Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WABUNGE MASHABIKI WA YANGA WAONYESHANA UBABE NA WENZAO WA SIMBA

 Kikosi cha timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na Wabunge mashabiki wa Simba. Beki wa timu ya Wabunge wa Simba, Wiliam Ngeleja akichuana na mshambuliaji wa Wabunge wa Yanga, Mwigulu Nchemba.Mshambuliaji wa timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete (kushoto), akimtoka beki wa timu ya Wabunge mashabiki wa Simba, Adam Malima katika mchezo wa Matumaini uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.  Mashabiki wakifuatilia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Yanga kisasi, Simba ubabe

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

HOMA ya pambano la watani wa jadi imezidi kupanda kwa timu zote kuingia mafichoni, lakini kitakachojiri kwenye mchezo huo ni ama Yanga kufuta uteja au Simba kuendeleza ubabe dhidi ya Wanajangwani hao katika Uwanja wa Taifa Jumamosi hii.

Katika kujiandaa na mechi hiyo, timu zote zimekimbilia visiwani Zanzibar, Yanga ikiwa Pemba tokea Jumapili iliyopita na Simba ilirejea juzi Unguja kwenye kambi ya awali kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba yaendeleza ubabe kwa Yanga

Mshambuliaji Emmanuel Okwi alitumia juhudi binafsi kumtungua kipa, Ally Mustapha katika dakika ya 51 na kuipa Simba ushindi mnono wa bao 1-0 dhidi ya wachezaji 10 wa Yanga jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

YANGA (WABUNGE) WALIVYOISAMBARATISHA SIMBA (WABUNGE) KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete akivua jezi yake kwa ajili ya mashabiki mara baada ya ushindi wa timu yake wa mabao 3-2 dhidi ya Simba leo. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akishangilia na shabiki wake baada ya ushindi wa…

 

11 years ago

GPL

Mashabiki Yanga waishabikia Simba

Mashabiki wa Yanga. Lucy Mgina na Ibrahim Mussa
KATIKA tukio la kushangaza, ambalo pengine lilionekana ni kama mchezo wa kuigiza, mashabiki wa Yanga, jana Jumapili waliamua kufunika kombe baada ya kuishabikia Simba kwa nguvu zote huku baadhi yao wakiwa na bendera za Msimbazi. Mashabiki wa Yanga ambao wengi wao walikuwa wakiipa nguvu Simba ili iifunge Azam kwenye Uwanja wa Taifa, walifanya hivyo ili Azam ipunguzwe kasi kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mashabiki Yanga wang’ara kwa Simba

Wakati shindano la ‘Nani Mtani Jembe 2’ baina ya mashabiki wa Yanga, Simba likiendelea nchini kote, upande wa Yanga umeendelea kufanya vyema katika kampeni hiyo ya kuwania Sh80 milioni.

 

11 years ago

GPL

MECHI YA WABUNGE: YANGA 1, SIMBA 1

Mechi ya wabunge mashabiki wa Simba na Yanga inaendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014. Mpaka sasa Yanga wanaongoza kwa bao 1-0 lililofungwa na Ahmed Ngwali katika kipindi cha kwanza. Mfungaji wa bao la Yanga akishangilia. …

 

11 years ago

GPL

WABUNGE WA SIMBA, YANGA WAPONGEZANA

Mwenyekiti wa Bunge Sports na Mbunge wa Kinondoni, Idd Azzan (aliyesimama) akizungumza jambo kwenye hafla hiyo.
Waheshimiwa wabunge na watumishi wa bunge wakifuatilia mkutano.
Wahariri wa Global Publishers…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani