Ni ubabe uchaguzi Simba
SIKU moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kusitisha uchaguzi mkuu wa Simba, Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo imeibuka na kudai kuwa shirikisho hilo halina mamlaka ya kufanya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania23 Sep
Yanga kisasi, Simba ubabe
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
HOMA ya pambano la watani wa jadi imezidi kupanda kwa timu zote kuingia mafichoni, lakini kitakachojiri kwenye mchezo huo ni ama Yanga kufuta uteja au Simba kuendeleza ubabe dhidi ya Wanajangwani hao katika Uwanja wa Taifa Jumamosi hii.
Katika kujiandaa na mechi hiyo, timu zote zimekimbilia visiwani Zanzibar, Yanga ikiwa Pemba tokea Jumapili iliyopita na Simba ilirejea juzi Unguja kwenye kambi ya awali kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara...
10 years ago
Mwananchi09 Mar
Simba yaendeleza ubabe kwa Yanga
11 years ago
MichuziWABUNGE MASHABIKI WA YANGA WAONYESHANA UBABE NA WENZAO WA SIMBA
11 years ago
Mwananchi08 Jul
BRAZIL 2014: Ubabe ubabe: Brazil v Ujerumani
11 years ago
Mwananchi16 May
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Malinzi aingilia uchaguzi Simba
11 years ago
Mwananchi07 May
Uchaguzi wazitesa Simba, Yanga
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Kesi ya uchaguzi Simba yatupwa
HATIMAYE Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imekataa kutoa amri ya muda kuzuia kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Simba uliopangwa kufanyika kesho, kutokana na maombi hayo ya zuio yaliyowalishwa...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Uchaguzi Simba wapingwa kortini
WANACHAMA watatu wa Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, jana wamefungua kesi Katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, wakiiomba itoe amri ya muda kuzuia uchaguzi mkuu...