Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malinzi aingilia uchaguzi Simba

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameingilia wa uchaguzi wa Simba baada ya kutangaza kuusimamisha kwa madai ya kutoundwa kwa kamati za maadili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga, Simba zamkacha Malinzi

LICHA ya kutarajiwa kuwa waathirika wakubwa wa sheria ya nyota wa kigeni katika timu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), wakongwe wa soka la Bongo, Simba na Yanga, juzi zilikacha...

 

11 years ago

Daily News

Malinzi suspends Simba election


Daily News
Malinzi suspends Simba election
Daily News
THE Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has indefinitely suspended Simba general election that was scheduled to be held on June 29, this year. Speaking in Dar es Salaam, the TFF President Malinzi said Simba should form an Ethics ...

 

11 years ago

Mwananchi

Rage: Malinzi acha uchaguzi

Mwenyekiti wa Simba, Aden Rage amemtaka rais wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kuachia uchaguzi wa viongozi wa klabu hiyo ufanyike kama ulivyopangwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malinzi kubariki Simba vs Chuoni leo

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, leo usiku anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mechi ya robo fainali ya pili ya Kombe la Mapinduzi kati ya Wekundu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Malinzi aitaka Simba kufuata kanuni TFF

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewataka Simba kufanya marekebisho ya katiba yao kwa kuzingatia katiba, kanuni na maelekezo ya Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Afrika (CAF) na TFF.

 

11 years ago

GPL

Rage: Chonde Malinzi uchaguzi pale pale

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage. Na Waandishi Wetu
MWENYEKITI wa Simba, Ismail Aden Rage, amemuomba Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, kutengua maamuzi ya kusitisha tarehe ya uchaguzi wa timu hiyo na kuuacha ufanyike siku iliyopangwa tangu awali.…

 

11 years ago

Mwananchi

Uchaguzi wainufaisha Simba

Vicky Kimaro, Mwananchi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni ubabe uchaguzi Simba

SIKU moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kusitisha uchaguzi mkuu wa Simba, Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo imeibuka na kudai kuwa shirikisho hilo halina mamlaka ya kufanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani