Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malinzi kubariki Simba vs Chuoni leo

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, leo usiku anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mechi ya robo fainali ya pili ya Kombe la Mapinduzi kati ya Wekundu wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Simba, KCC vitani leo .Azam yaua 2-0, Chuoni vs URA sare

c WEKUNDU wa Msimbazi, Simba baada ya juzi kuanza vema michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kuifunga AFC Leopards ya Kenya kwa bao 1-0, leo inajitupa tena dimba la Amaan...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK kubariki Uhuru Marathon leo

p>MBIO za Uhuru Marathon 2013 zinatimua vumbi leo huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete. Mbio hizo za Km 42, Km 21, Km 5 na Km 3 zitaanzia viwanja...

 

11 years ago

GPL

JERRY SILAA KUBARIKI UZINDUZI WA KAMPUNI YA GRACING AFRICA LEO

Mwanamitindo anayefanya vizuri sana nchini, Danny David atazindua kampuni yake mpya ya Gracing Africa inayojihusisha na ukuzaji na uendelezaji wa vipaji nchini hasa vya mitindo na fashion ijumaa hii katika hoteli ya Serena ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa meya wa jiji la Dar es Salaam mheshimiwa Jerry Slaa. Uzinduzi huo wa aina yake utakuwa wa mwaliko pekee ni watu wachache watakaochaguliwa kuhudhuria sherehe hiyo. Danny...

 

11 years ago

Daily News

Malinzi suspends Simba election


Daily News
Malinzi suspends Simba election
Daily News
THE Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has indefinitely suspended Simba general election that was scheduled to be held on June 29, this year. Speaking in Dar es Salaam, the TFF President Malinzi said Simba should form an Ethics ...

 

11 years ago

Mwananchi

Malinzi aingilia uchaguzi Simba

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameingilia wa uchaguzi wa Simba baada ya kutangaza kuusimamisha kwa madai ya kutoundwa kwa kamati za maadili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga, Simba zamkacha Malinzi

LICHA ya kutarajiwa kuwa waathirika wakubwa wa sheria ya nyota wa kigeni katika timu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), wakongwe wa soka la Bongo, Simba na Yanga, juzi zilikacha...

 

10 years ago

Michuzi

Ligi Kuu ya Zanzibar: Shaba na Chuoni bao 1-1 uwanja wa Amaan leo

Mashabiki wa timu ya Shaba wakishangilia timu yao wakati ikicheza na timu ya Chuoni katika uwanja wa Amaan, jioni leo na katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya 1--1.Mchezaji wa timu ya Shaba akiondoa mpira golini kwake wakati wa mchezo wa ligi kuu ya grand malt mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan.

 

11 years ago

Mwananchi

Malinzi aitaka Simba kufuata kanuni TFF

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewataka Simba kufanya marekebisho ya katiba yao kwa kuzingatia katiba, kanuni na maelekezo ya Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Afrika (CAF) na TFF.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani