Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni vita Yanga, Azam

KIVUMBI cha Ligi Kuu Tanzania Bara, kinatarajiwa kuendelea tena leo katika viwanja viwili kwa timu ya Yanga kuwakaribisha Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Wakati Yanga...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Yanga, Azam ni vita

MIAMBA ya Ligi Kuu Bara, Yanga na Azam leo itashuka kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa kumenyana katika mechi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. Mechi hiyo inatarajiwa kuwa ya vuta nikuvite huku kila timu ikitaka kuonesha ubabe kwa mwenzie baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 katika mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu bara mwaka jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam, Yanga vita ya kisasi

‘Leo ndiyo leo, asiye na mwana aelekee jiwe’, mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC watakuwa na kibarua kizito mbele ya Yanga ya Marcio Maximo katika mchezo wa Ngao ya Jamii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mtanzania

Vita ya Yanga, Azam, Simba

simba,azam,yangaNA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM

TIMU za Yanga, Azam na Simba, leo zinaingia kibaruani kwa mara nyingine katika viwanja tofauti katika raundi ya 12 ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga, wao watakuwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kuwakabili Stand United ya Shinyanga.

Yanga, wanaoongoza ligi hiyo wakiwa na pointi 27 baada ya kucheza mechi 11, wanashuka dimbani wakitokea mkoani Tanga, ambako wamecheza mechi mbili baina ya Mgambo Shooting na Africans Sports,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

AZAM FC: Nguvu zote sasa vita ya ubingwa

HUWEZI kutaja timu nne bora za soka nchini bila Azam FC ambayo kutokana na soka yake ya uhakika, wamejizolea sifa kubwa sio tu katika Ligi Kuu Tanzania Bara, pia katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Etoile ni vita pevu

Sousse, Tunisia. Yanga imefanyiwa vurugu za kila namna baada ya kutua jijini Tunis na wapinzani wao, Etoile du Sahel juzi, lakini kocha Hans Pluijm amesema hakuna kipya katika vitimbi hivyo.

 

11 years ago

GPL

Kibadeni azitangazia vita Simba, Yanga

Kocha Mkuu wa Ashanti United, Abdallah Kibadeni. Na Hans Mloli
KOCHA Mkuu wa Ashanti United, Abdallah Kibadeni ameziambia Simba na Yanga zisitegemee kabisa ushindi kwenye mechi watakazokutana katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara badala yake wajipange kwa vita kali. Kibadeni amefunguka kuwa wamejipanga kwa mengi kwa ajili ya mzunguko wa pili ikiwemo kuifunga kila timu watakayokutana nayo. “Tunachotaka sisi ni ushindi...

 

10 years ago

Mwananchi

Udugu kando, vita Yanga, KMKM

Afe kipa, afe beki, ushindi lazima upatikane leo. Ndivyo pengine inavyosema Yanga inapoikabili KMKM ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ikihitaji ushindi kwa hali yoyote ili kucheza robo fainali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani