Nadir: Tungefungwa ingekuwa aibu yetu
NAHODHA wa mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amesema kama wasingeifunga Azam FC katika mchezo wa Ngao ya Jamii mwishoni mwa wiki, ingekuwa ni aibu kwao.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...
Azam imezidi kunyemelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya kuichapa Simba 2-1, huku mabingwa watetezi Yanga wakichapwa 2-1 na wachezaji 10 wa Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
10 years ago
Mwananchi18 Oct
Aibu yetu, aibu yao...
Tambo, ngebe zilizotawala vinywa vya mashabiki, viongozi wa Yanga na, Simba zinafikia mwisho leo kwa pambano linalozikutanisha timu hizo mbili.
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Umaskini hohehahe aibu mbele ya macho yetu
Â
Tushukuru tumemaliza sherehe za Krismasi kwa salama, huku tukimuomba Mwenyezi Mungu atusambazie amani, neema na mafanikio katika maisha yetu mnamo mwaka huu mpya wa 2014.
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Nadir: Tutawaduwaza Al Ahly
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub amesema timu yao ina uwezo wa kuifunga Al Ahly kwao kama watajituma na kwenda Misri na mtazamo wa ushindi.
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Nadir, Dida waikubali Al-Ahly
Nyota wawili wa Yanga, beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na kipa Deogratius Munishi ‘Dida’ wamesema wapo tayari kujiunga na klabu ya Al Ahly ya Misri ambayo imeonyesha nia ya kutaka kuwasajili.
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Nadir atoswa kikosi cha kwanza
Kila shetani na mbuyu wake! Kocha mpya wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amemchomoa rasmi katika kikosi cha wachezaji 11 wa kwanza beki mkongwe wa timu hiyo, Nadir Haroub ‘Canavaro’.
11 years ago
Michuzi04 Mar
9 years ago
Habarileo02 Sep
Stars yarejea imeiva atamba Nadir
KIKOSI cha timu ya soka ya taifa, Taifa Stars kilitarajiwa kuwasili nchini alfajiri ya leo kikitokea Uturuki huku wachezaji wake wakitamba kuiva vya kutosha kuikabili Nigeria.
9 years ago
MichuziWATANZANIA TUTAMBUE AMANI YETU NI FAHARI YETU.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10