Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMULIZI YA AIBU!

Mwandishi Wetu
HII ni simulizi ya aibu! Tukio la mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kibasila jijini  Dar, Gaudensia Albert, mkazi wa Kisiwani Kata ya Sandali wilayani Temeke kuishi na vinyesi, mikojo na matapishi chumbani kwake, limeibua mshtuko na aibu ndani yake. Kinyesi kikiwa kwenye ndoo. Kwa mujibu wa mwenye nyumba, Reuben Shayo, mwalimu huyo anayefundisha masomo ya sayansi aligundulika hivi karibuni kuwa anaishi ndani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...

Azam imezidi kunyemelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya kuichapa Simba 2-1, huku mabingwa watetezi Yanga wakichapwa 2-1 na wachezaji 10 wa Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Aibu yetu, aibu yao...

Tambo, ngebe zilizotawala vinywa vya mashabiki, viongozi wa Yanga na, Simba zinafikia mwisho leo kwa pambano linalozikutanisha timu hizo mbili.

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI NZITO!


Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
HALI bado ya majonzi! Watu bado wanalia, hususan wakazi wa maeneo ya Buguruni, Ilala jijini Dar es Salaam kufuatia vifo vya watu tisa wa familia moja vilivyotokana na kuteketea kwa moto uliozuka saa tisa usiku wa Agosti 13, mwaka huu kwenye nyumba ya mzee Masoud Mattar Masoud ambaye siku hiyo ya tukio alikuwa kazini bandarini. Muonekano wa… ...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI YA NATASHA - 8

ILIPOISHIA
WIKI iliyopita tuliishia pale nilipokuwa namjibu mwanangu Monalisa kwamba nilimuokota kwenye kopo la maua. Huo ni utani ambao nautumia hadi leo katika Kipindi cha Filamonata cha Radio Times kila Jumapili, saa tano asubuhi.ENDELEA Siku isiyo na jina nikiwa Angola, usiku niliamshwa na mwanga mkubwa ulioingia chumbani kwangu ingawa nilizima taa, nikashituka na kufungua macho nikaona kweli mwanga uking’aa...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI YA NATASHA - 5

WIKI iliyopita tuliishia pale tulipofika rasmi nchini Angola. Tulikuwa tukiifikiria tofauti nchi hiyo tukiamini kwamba ni nchi isiyokuwa na amani.
SASA  ENDELEA… Sasa nakupa mtazamo wangu nilipofika Luanda, ambao ni mji mkuu wa Angola.  Kwanza ni amani tupu wala huwezi jua kama kuna mtu anatumia risasi mahali fulani ili aishi.Rais ni Eduardo dos Santos, ni nchi nzuri iliyotawaliwa na majengo mengi ya ghorofa na...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI YA NATASHA - 7

ILIPOISHIA
Wiki iliyopita niliishia pale nilipoeleza baba yangu alivyokuwa akipokea wageni wengi kwa kuwa alikuwa na cheo kikubwa ubalozini.ENDELEA Kwa vile pale ubalozini hakuwepo kijana zaidi yangu hivyo walikuwa ni kama wageni wangu, wakija ninawapa ushirikiano na kuwa nao muda mwingi ili wasijisikie upweke mpaka watakapoondolewa sijui huko mbele walikuwa wakipata adhabu gani baada ya kurudishwa nyumbani chini ya ulinzi....

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI YA NATASHA - 1

Mwigizaji mkongwe, Suzan Natasha. KARIBU msomaji wa Gazeti la Amani, nikukaribishe katika simulizi mpya iitwayo Mimi na Angola, hii ni simulizi ya kweli ya maisha ya mwigizaji mkongwe, Suzan Natasha alipokuwa nchini Angola.Simulizi hii inasisimua kutokana na changamoto mbalimbali alizopitia, twende pamoja... Ilikuwa ni miezi michache imepita tangu nilipofanya kosa kubwa sana lililobadilisha maisha yangu yote. Kosa ambalo si tu...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI YA NATASHA - 6

ILIPOISHIA
Wiki iliyopita tuliishia pale nilipoeleza kwamba nilishangazwa na kitendo cha kuona wanawake wengi wanavaa nguo nyeusi nchini Angola…ENDELEA NiLIambiwa waliokuwa wanavaa vile walifiwa na  waume zao vitani.
“Mungu wangu mbona wengi!” nilishtuka.Katika kundi la wanawake kumi, saba wote wamefiwa!
Kingine niliona vijana wengi wakiwa wamekatwa ama miguu ama mikono!  Kuuliza kisa eti ni vita!...

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI YA NATASHA - 2

Wiki iliyopita tuliishia pale nilipokuwa nchini China. Nilieleza nilivyokuwa nikicheza na wenzangu michezo ya kutereza kwenye saruji. Tulitengeneza mtu wa barafu, tunamwekea pua, tunatengeneza matonge ya barafu na kuanza kumpiga mpaka anavunjika, tunafurahia kwa vile eti amekufa.
SASA ENDELEA… Tulipewa uamuzi wa kuchagua shule ya kusoma ama ya Kichina au shule ya kimataifa inayofundisha lugha ya Kiingereza, mama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani