SIMULIZI YA NATASHA - 8
![](http://api.ning.com:80/files/pUv0rT5h6PK6SETzdIMYZjFPHnD4waKCnyVlhO-13nSmZN77s-S4wmWMX2pIm5F7XV1d7yCMYZK3hseYvgp7oFWa0pUwxOqm/filamu1.jpg?width=650)
ILIPOISHIA WIKI iliyopita tuliishia pale nilipokuwa namjibu mwanangu Monalisa kwamba nilimuokota kwenye kopo la maua. Huo ni utani ambao nautumia hadi leo katika Kipindi cha Filamonata cha Radio Times kila Jumapili, saa tano asubuhi.ENDELEA Siku isiyo na jina nikiwa Angola, usiku niliamshwa na mwanga mkubwa ulioingia chumbani kwangu ingawa nilizima taa, nikashituka na kufungua macho nikaona kweli mwanga uking’aa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8Kb*1kVFSTt6rTCFwv-mnbBBG89aFiNla6UK2NuoDmBywknSL8cm9rt1QVtrRNzPHOTQLOlz9ql2zj-c0Ik2CPnvznvAgtBe/SusanLewis.jpg?width=650)
SIMULIZI YA NATASHA - 1
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL*HosZ2e0141eDlpsUBAXIUNaqdZios3UuQhWSYqPpS0y1It8-9Fc6PqemOOoYkqtjOvYYZL2nRtGpA5sr7bzqr/SusanLewis.jpg)
SIMULIZI YA NATASHA - 2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p9piKYn1mVLe4FUdzbYOIQTdNdTu52mWvHrNIhIea*VA9v5Cp-mpXLeqV8f1NYsP6QZrTO3YAdkPcyXpJ1IPJ7*BthDCTuR1/NATASHA.jpg?width=650)
SIMULIZI YA NATASHA - 5
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TL-la4qMC-0Xz9K16qK1OGJ6CxfH6LvatUr6LczkMZzQDCbJABYzJ2UpxgvaKnvQsn5ryXtr52GruggYwet1Wa3byO4Ecaoy/natasha.jpg?width=650)
SIMULIZI YA NATASHA - 6
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gDF3S0THO9wnhlepHDgBxOU21IuAnKa3iy7EZ37TBAM8dJfHMeHCdUpGzyDV5CCztupu*vaAWVxrV4n6NRhEGYRzxoe1nqVo/Yvonne_Cherrly_Susan_Lewis_Natasha.jpg?width=650)
SIMULIZI YA NATASHA - 7
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-RqNAtEJNzLw/VJyok7p8Z8I/AAAAAAADSiQ/O7LaZlJH5uE/s72-c/10173712_1537247396502117_8209725982127745919_n.jpg)
NATASHA SHAYROSE WIMBO WAKE MWINGINE HUU HAPA JIPAKULIE NATASHA MTANZANIA YUPO NORWAY
![](http://2.bp.blogspot.com/-RqNAtEJNzLw/VJyok7p8Z8I/AAAAAAADSiQ/O7LaZlJH5uE/s1600/10173712_1537247396502117_8209725982127745919_n.jpg)
http://www.soundcloud.com/natashashyrosehttp://www.myspace.com/blackrose52http://www.oddisbold.comhttp://natasha-shyrose.blogspot.no. Ukitaka kujua zaidi kuhusu na Natasha tembelea kwenye hizo link na utakudundua kipaji chake siyo cha kubahatisha.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39eSZRBEx3HHhmj9IoWksI*MfvzIVvAd1ktt-F3Zp9CXNF7BdJMBadbcEsl6yuF7d*UtJuwefIu1HA0371gKJ4xi/NATASHA.jpg?width=650)
NATASHA HOI KWA DENGU
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Watoto wenye ulemavu wamkuna Natasha
NA GEORGE KAYALA
MWIGIZAJI Susan Humba ‘Natasha’ amewataka wenye makampuni ya uandaaji wa filamu za bongo kuwatumia watoto wenye vipaji ambao wana ulemavu wa viungo.
Natasha alitoa kauli hiyo kwa watoto hao wenye ulemavu wa viungo wanaosoma Shule ya Sekondari Jangwani, jijini Dar es Salaam, baada ya kuonyesha uwezo wao wa kuigiza mbele yake.
Wanafunzi hao walionesha vipaji vyao mwishoni mwa wiki iliyopita, wakati wa uzinduzi wa shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation...
10 years ago
Bongo Movies01 May
Kama Umeguswa na Hili, Wasiliana na Natasha
Niko na mashoga zangu Jangwani Sekondari.kuna wanafunzi zaidi ya 70 wenye ulemavu na wana tatizo la miundo mbinu hasa linapokuja suala la choo na njia ya kwenda maktaba.ndugu zangu wa SVF wamejutolea kujenga choo na hiyo njia.kama nawe unaguswa tuwasiliane ili kwa pamoja tuwarahisishie maisha warembo wetu hawa.
Wote wana ndoto zao.baadhi wanataka kuwa waigizaji.hebu kuwa mmoja wao wa kutimiza ndoto zao.
Na: Natasha on Instagram