NATASHA SHAYROSE WIMBO WAKE MWINGINE HUU HAPA JIPAKULIE NATASHA MTANZANIA YUPO NORWAY

http://www.soundcloud.com/natashashyrosehttp://www.myspace.com/blackrose52http://www.oddisbold.comhttp://natasha-shyrose.blogspot.no. Ukitaka kujua zaidi kuhusu na Natasha tembelea kwenye hizo link na utakudundua kipaji chake siyo cha kubahatisha.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
MSIKILIZE NATASHA MWANA MUSIC WA KITANZANIA ANAEFANYA KAZI ZAKE KATIKA NCHI YA NORWAY

Natasha.Shyrose
soundcloud.comNatasha Shyrose is among the first female East African artists presenting Tanzania since 1998 based now in Norway. I am vocalist/songwriter/executive producer/Fashion Designer and Master Student in Co.
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
GPL
SIMULIZI YA NATASHA - 5
WIKI iliyopita tuliishia pale tulipofika rasmi nchini Angola. Tulikuwa tukiifikiria tofauti nchi hiyo tukiamini kwamba ni nchi isiyokuwa na amani.
SASA ENDELEA… Sasa nakupa mtazamo wangu nilipofika Luanda, ambao ni mji mkuu wa Angola. Kwanza ni amani tupu wala huwezi jua kama kuna mtu anatumia risasi mahali fulani ili aishi.Rais ni Eduardo dos Santos, ni nchi nzuri iliyotawaliwa na majengo mengi ya ghorofa na...
10 years ago
GPL
SIMULIZI YA NATASHA - 6
ILIPOISHIA
Wiki iliyopita tuliishia pale nilipoeleza kwamba nilishangazwa na kitendo cha kuona wanawake wengi wanavaa nguo nyeusi nchini Angola…ENDELEA NiLIambiwa waliokuwa wanavaa vile walifiwa na waume zao vitani.
“Mungu wangu mbona wengi!†nilishtuka.Katika kundi la wanawake kumi, saba wote wamefiwa!
Kingine niliona vijana wengi wakiwa wamekatwa ama miguu ama mikono! Kuuliza kisa eti ni vita!...
10 years ago
GPL
SIMULIZI YA NATASHA - 1
Mwigizaji mkongwe, Suzan Natasha. KARIBU msomaji wa Gazeti la Amani, nikukaribishe katika simulizi mpya iitwayo Mimi na Angola, hii ni simulizi ya kweli ya maisha ya mwigizaji mkongwe, Suzan Natasha alipokuwa nchini Angola.Simulizi hii inasisimua kutokana na changamoto mbalimbali alizopitia, twende pamoja... Ilikuwa ni miezi michache imepita tangu nilipofanya kosa kubwa sana lililobadilisha maisha yangu yote. Kosa ambalo si tu...
10 years ago
GPL
SIMULIZI YA NATASHA - 2
Wiki iliyopita tuliishia pale nilipokuwa nchini China. Nilieleza nilivyokuwa nikicheza na wenzangu michezo ya kutereza kwenye saruji. Tulitengeneza mtu wa barafu, tunamwekea pua, tunatengeneza matonge ya barafu na kuanza kumpiga mpaka anavunjika, tunafurahia kwa vile eti amekufa.
SASA ENDELEA… Tulipewa uamuzi wa kuchagua shule ya kusoma ama ya Kichina au shule ya kimataifa inayofundisha lugha ya Kiingereza, mama...
10 years ago
GPL
SIMULIZI YA NATASHA - 8
ILIPOISHIA
WIKI iliyopita tuliishia pale nilipokuwa namjibu mwanangu Monalisa kwamba nilimuokota kwenye kopo la maua. Huo ni utani ambao nautumia hadi leo katika Kipindi cha Filamonata cha Radio Times kila Jumapili, saa tano asubuhi.ENDELEA Siku isiyo na jina nikiwa Angola, usiku niliamshwa na mwanga mkubwa ulioingia chumbani kwangu ingawa nilizima taa, nikashituka na kufungua macho nikaona kweli mwanga uking’aa...
10 years ago
GPL
SIMULIZI YA NATASHA - 7
ILIPOISHIA
Wiki iliyopita niliishia pale nilipoeleza baba yangu alivyokuwa akipokea wageni wengi kwa kuwa alikuwa na cheo kikubwa ubalozini.ENDELEA Kwa vile pale ubalozini hakuwepo kijana zaidi yangu hivyo walikuwa ni kama wageni wangu, wakija ninawapa ushirikiano na kuwa nao muda mwingi ili wasijisikie upweke mpaka watakapoondolewa sijui huko mbele walikuwa wakipata adhabu gani baada ya kurudishwa nyumbani chini ya ulinzi....
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania