Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yaondoa gundu

SIMBA jana ilianza mwaka mpya kwa kuondoa gundu baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini, kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara dhidi ya Ndanda ya huko.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AUNTY: SINA GUNDU NA WANAUME!

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya GUNDU? Baada ya kudaiwa kuwa na gundu kufuatia kila mwanaume anayeishi naye kuandamwa na majanga, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli. Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson. Baada ya maneno hayo kutua katika dawati la Ijumaa Wikienda, wanahabari wetu walimsaka Aunt ili kumsikia anazungumziaje taarifa hizo ambapo...

 

10 years ago

GPL

DUDE: MWAKA 2014 NI GUNDU KWANGU

Stori: Gladness Mallya
TUKIWA tunaelekea ukingoni mwa mwaka, msanii wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kuwa mwaka 2014 ulikuwa hauna bahati (gundu) hivyo anamuomba Mungu huo ujao uwe wa baraka kwake. Msanii wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Akipiga stori na gazeti hili, Dude alisema ndani ya mwaka huu hakuweza kufanikisha lengo lolote kati ya yale aliyojiwekea ikiwa ni pamoja na...

 

10 years ago

GPL

ETI MAYA, JOHARI WANA GUNDU

Imelda Mtema
Msanii wa kitambo katika tasnia ya filamu Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’, amefunguka kuwa anahisi yeye na mwigizaji mwenzake ambaye ni mkongwe, Blandina Chagula ‘Johari’ wana gundu kwani wasanii wenzao wengi wana watoto na wengine ni wajawazito lakini wao wapowapo tu. Mwigizaji mkongwe Blandina Chagula ‘Johari’. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Maya alisema kuwa kuna...

 

9 years ago

GPL

SARAH MVUNGI: NINA GUNDU NA WANAUME

Msanii wa muziki wa Injili, Sarah Mvungi. BRIGHTON MASALU MSANII wa muziki wa Injili, Sarah Mvungi amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa ana gundu na wanaume na kwamba wengi humkimbia kutokana na sharti analowapa. Akizungumza na Amani, Sarah alisema katika maisha yake hajawahi kufurahia mapenzi, aliwahi kuishi kwenye ndoa kwa miaka 12 lakini hakuwahi kufurahia maisha ya kuolewa. “Si kwamba sitongozwi, la hasha, natongozwa...

 

10 years ago

GPL

LA VEDA: IDRIS, FEZZA KESSY NA DIAMOND WAMETOA GUNDU KWA WASANII WA BONGO

La Veda baada ya kuwasili jijini Dar akitokea nchini Afrika Kusini alipokwenda kushiriki fainali za BBA.…

 

10 years ago

BBCSwahili

CAF yaondoa marufuku ya umri

Shirikisho la Soka barani Afrika CAF limefutilia mbali marufuku ya umri wa wagombea viti vya uenyekiti katika uchaguzi wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Mahakama yaondoa kinga ya wabunge

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imefungua milango kwa mawaziri na wabunge kufunguliwa mashtaka kutokana na kauli watakazozitoa bungeni ambazo ni kinyume cha Katiba na Sheria.

 

10 years ago

BBCSwahili

CAF yaondoa marufuku ya Gambia

CAF imeondoa marufuku ya shirikisho la soka la Gambia baada ya GFF kufanya uchaguzi mwishoni mwa juma.

 

5 years ago

CCM Blog

MAREKANI YAONDOA MISAMAHA YA NYUKLIA YA IRAN

Marekani yaondoa misamaha ya nyuklia ya IranBaada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) mnamo Mei 8 2018, ilianza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Iran. Vikwazo hivyo vya upande mmoja ni ukiukwaji wa wazi wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.Pamoja na kuwa Marekani ilikuwa haina budi ila kuzingatia misamaha  inayohusu ushirikiano wa nyuklia na Iran lakini sasa imefuta misamaha hiyo.Kuhusiana na nukta hiyo, Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani