MAREKANI YAONDOA MISAMAHA YA NYUKLIA YA IRAN
Baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) mnamo Mei 8 2018, ilianza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Iran. Vikwazo hivyo vya upande mmoja ni ukiukwaji wa wazi wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.Pamoja na kuwa Marekani ilikuwa haina budi ila kuzingatia misamaha inayohusu ushirikiano wa nyuklia na Iran lakini sasa imefuta misamaha hiyo.Kuhusiana na nukta hiyo, Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Apr
Nyuklia:Marekani kuafikiana na Iran
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Mazungumzo ya nyuklia ya Iran yaafikiwa
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Iran yaanza kutekeleza mkataba wa nyuklia
10 years ago
BBCSwahili14 Jul
Nyuklia:Iran yakubaliana na mataifa 6 makubwa
10 years ago
BBCSwahili14 Jul
Mazungumzo Nyuklia Iran yaleta matumaini
10 years ago
BBCSwahili30 Mar
Hatima ya mpango wa nyuklia wa Iran leo
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Nyuklia:Iran yaapa kutekeleza makubaliano
10 years ago
BBCSwahili16 Mar
Saudi Arabia yapinga mkataba wa nyuklia Iran
10 years ago
Habarileo14 Jul
BREAKING NEWS: Makubaliano juu ya mpango wa nyuklia wa Iran yafikiwa
IRAN na mataifa sita yenye nguvu duniani wamefikia makubaliano muhimu leo mjini Vienna , kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran kuweza kuondolewa vikwazo ilivyoekewa na mataifa ya magharibi Makubaliano hayo yamekuja katika siku ya 18 za mbio katika mazungumzo kati ya Iran na kundi la mataifa matano lijulikanalo kama P5 +1, mataifa matano ambayo ni Marekani , Urussi , China , Uingereza, Ufaransa pamoja na Ujerumani , mjini Vienna.