BREAKING NEWS: Makubaliano juu ya mpango wa nyuklia wa Iran yafikiwa
IRAN na mataifa sita yenye nguvu duniani wamefikia makubaliano muhimu leo mjini Vienna , kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran kuweza kuondolewa vikwazo ilivyoekewa na mataifa ya magharibi Makubaliano hayo yamekuja katika siku ya 18 za mbio katika mazungumzo kati ya Iran na kundi la mataifa matano lijulikanalo kama P5 +1, mataifa matano ambayo ni Marekani , Urussi , China , Uingereza, Ufaransa pamoja na Ujerumani , mjini Vienna.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Nyuklia:Iran yaapa kutekeleza makubaliano
Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema nchi yake itatekeleza wajibu wake kikamilifu kuhusiana na muafaka wa nyuklia ulioafikiwa
10 years ago
BBCSwahili30 Mar
Hatima ya mpango wa nyuklia wa Iran leo
Mazungumzo kuhusu mpango tata wa Iran wa nyuklia yameendelea nchini Uswisi na kuhudhuriwa na nchi sita
5 years ago
BBCSwahili13 Apr
Virusi vya corona: Makubaliano ya kupunguza uzalishaji mafuta yafikiwa: Je hili litamaliza mvutano wa bei?
Opec bado haijatangaza rasmi makubaliano hayo lakini nchi husika zimethibitisha kuwa ziko tayari kwa mabadiliko.
10 years ago
BBCSwahili15 Jul
Wairan wafurahia makubaliano ya nyuklia
Maelfu ya raia wa Iran wamekuwa wakishangilia mitaani kufutia makubaliano mapya ya mpango wa nyuklia kati ya Iran na mataifa makubwa yenye nguvu duniani.
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Mazungumzo ya nyuklia ya Iran yaafikiwa
Mataifa sita makubwa duniani wamefikia makubalino ya muundo wa mazungumzo ya kina kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran
10 years ago
BBCSwahili04 Apr
Nyuklia:Marekani kuafikiana na Iran
Obama ana uhakika kuwa Marekani itaafikia makubaliano ya mwisho na Iran kuhusu mpango wake wa nyuklia mwishoni mwa mwezi Juni.
10 years ago
BBCSwahili14 Jul
Nyuklia:Iran yakubaliana na mataifa 6 makubwa
Hatimaye makubaliano ya kihistoria yametangazwa kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran na mataifa 6 makubwa duniani.
10 years ago
BBCSwahili14 Jul
Mazungumzo Nyuklia Iran yaleta matumaini
Ikulu ya Marekani imesema kuwa mazungumzo ya Viena kuhusu makubaliano ya Nyuklia ya Iran,ymaefikia katika hatua nzuri
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Iran yaanza kutekeleza mkataba wa nyuklia
Iran imeanza kutekeleza vipengee vya mkataba wa kufuta mradi wake wa nyuklia iliyokubaliana na mataifa ya makubwa duniani.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania