Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kila siku wanadai eti vijana hatuna uzalendo. Wao wana uzalendo kwetu?

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke, mipango miji, machinga, kero vijijini na waishiwa,

Hidaya

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uzalendo kwanza mengine baadaye

Taifa letu litajengwa na uzalendo wetu na wala siyo porojo na propaganda za kijinga. Uzalendo ni pamoja na hekima na busara ya kusikiliza na kuvumilia maoni ya watu wengine.

 

10 years ago

Mwananchi

Uzalendo wa supu hatari kwelikweli

Waliosema iga ufe hawajakosea. Eti kwa kuwa bangi ya kutibua inazidi kutibua licha ya kuonekana kwamba ni kazi ya kuchimba shimo ili kujaza shimo lingine, basi hata waishiwa wenzangu walidai kuwa na kikao kisichokoma wala kukomaa ilimradi supu inaendelea kutolewa.

 

11 years ago

Habarileo

Ahimiza Watanzania kujenga uzalendo

RAIA wa Korea Kusini, Mchungaji Joshua Lee amewashauri Watanzania kuweka uzalendo mbele ikiwa ni pamoja na kujitolea bila kudai fedha kwa ajili ya kujiletea maendeleo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uzalendo haujengwi kwa hotuba

NIANZE kukushukuru wewe unayeendelea kusoma makala zangu na kunipa moyo juu ya mada mbalimbali ninazo kutafakarisha kupitia jarida hili maridhawa. Ndugu zangu mlioniomba nizungumzie mafao ya waliokuwa watumishi wa Jumuiya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tusiache uzalendo wa Lembeli usakamwe na wanamakundi

JAMES  Lembeli, ni Mbunge wa Kahama (CCM). Lakini uanachama wake kwa chama hicho haumvui uzalendo wake kwa nchi yake wala mapenzi yake  kwa  wananchi wenzake.  Hataki kuutumia uanachama huo kuwaona...

 

11 years ago

Mwananchi

Upendo usio na mrejesho unaua uzalendo

Neno upendo ni neno ambalo kila mtu atakubaliana nami kwamba ni neno linalotumika sana wakati wa kuashiria uhusiano kati ya kiumbe cha aina moja na chenzake cha aina hiyo au na viumbe vingi vyenye. Kiumbe chenye uwezo wa kutoa upendo kwa kiumbe kingine hakika kinasifiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni nani aonyeshe uzalendo huu wa Dk Njoroge

Waswahili husema, baniani mbaya, kiatu chake dawa. Usemi huu unafaa kutumika kuzungumzia watu wawili ambao wote ni viongozi waandamizi wa sekta tofauti nchini Kenya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani