Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KADJA NITO AFUNGUKIA UHUSIANO WAKE KIMAPENZI

Mtangazaji wa Kipindi cha Me & U with love, Shorvien Mohamed (kushoto) akifanya mahojiano na msanii Khadja Nito,  katika Studio za Global TV Online. Khadja akifafanua kwa upana moja ya swali aliloulizwa kwenye interview hiyo.. ... akifurahia jambo muda mfupi baada ya kuhitimisha mahojiano na Global TV…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MILL AFUNGUKIA UHUSIANO WAKE NA NICKI MINAJ

Rapa, Meek Mill. Los Angles, Marekani
MPENZI wa rapa wa kike, Nicki Minaj, Meek Mill ameibuka na kusema uhusiano wao upo makini sana. Minaj kabla ya kuwa na Mill alikuwa akitoka na Safaree Samuels aliyedumu naye miaka 12 kabla ya kuachana mwaka jana. Meek Mill akiwa na mpenzi wake Nicki Minaj. Mill, 28, ambaye naye ni rapa tayari amemvalisha pete ya dhahabu ya uchumba yenye umbo la ‘moyo’ ‘hitmaker’...

 

10 years ago

GPL

KADJA NITO APIGWA KIBUTI

Musa mateja
STAA aliyetikisa kwenye Bongo Fleva na single ya Maumivu Niache, Khadija Maige ‘Kadja Nito’,  ameweka wazi kuwa yupo huru baada ya kuachika na aliyekuwa mpenzi wake, hivyo nafasi ya mwenza mpya inakaribishwa ila vigezo na masharti vitazingatiwa. Staa aliyetikisa kwenye Bongo Fleva na single ya Maumivu Niache, Khadija Maige ‘Kadja Nito’. Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Kadja...

 

10 years ago

GPL

KADJA NITO ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa Bongo Fleva, Kadja Nito akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiano na Global TV Online. Kadja Nito akiwasikiliza wanahabari wa Global Publishers (hawapi pichani) wakati wa maswali. (PICHA: GLOBAL TV…

 

10 years ago

GPL

JOKATE ATINGA NDANI YA GLOBAL TV, AFUNGUKIA BIASHARA NA UHUSIANO WAKE NA MASTAA

Jokate (katikati) akizungumza jambo na mdamini wake mkuu, Deng Guoxun . Jokate akifafanua jambo mbele ya waandishi (hawapo pichani). Jokate akisikiliza moja ya maswali kutoka kwa waandishi.…

 

10 years ago

GPL

BEN POL AFUNGUKIA UHUSIANO WAKE NA MISS TANZANIA NAMBA 2, PART 1

Ben Pol katika pozi kwenye studio za Global TV Online. MUZIKI wa Bongo Fleva unazidi kuchana mawingu kila kunavyokucha, ambapo ukizungumzia wasanii wanaotoa mchango mkubwa katika muziki huo ni vigumu sana katika ‘listi’ yako kumsahau mkali wa RnB, Benard Paul ‘Ben Pol’. Alianza gemu mwaka 2010 baada ya kutoka na kibao cha Nikikupata, baada ya hapo amewika kwa vibao vikali vingi kama vile, Jikubali,...

 

10 years ago

GPL

WIMBO MPYA: KADJA NITO - SINA MARINGO

Msanii wa Bongo Fleva, Kadja Nito .

 

10 years ago

Dewji Blog

Wimbo mpya: Kadja Nito — Sina Maringo

KadjaVover

Msanii wa Bongo Fleva, Kadja Nito.

Sikiliza wimbo wake wenye mahadhi ya Zouk hapa chini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani