VODACOM NA EATV WAFAGILIWA KUIBUA VIPAJI DANCE 100%
Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la â€The Winners Crew†la jijini Dar es Salaam, wakionesha umahiri wao wa kudansi wakati wa mchuano wa nusu fainali ya shindano hilo linaloadaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lililofanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay. WADAU wa muziki nchini wamewapongeza waratibu wa shindano la Dance 100% ambalo limefikia hatua ya fainali, baada ya makundi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziVodacom, EATV wafagiliwa kuibua vipaji Dance 100%
Hassan Tofi mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la Best Boys la Kigamboni jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao yanayofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Upanga ikiwa ni sehemu ya kujindaa na fainali ya shindano hilo litakalofanyika hivi karibuni. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
WADAU wa muziki nchini wamewapongeza waratibu wa shindano la Dance 100% ambalo limefikia hatua ya fainali, baada ya makundi matano...
WADAU wa muziki nchini wamewapongeza waratibu wa shindano la Dance 100% ambalo limefikia hatua ya fainali, baada ya makundi matano...
10 years ago
GPLFAINALI YA DANCE 100 J'MOSI CHINI YA VODACOM TANZANI
Meneja wa Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana juu ya fainali ya mashindano hayo yatakayofanyika jumamosi Don Bosco Oysterbay jijini. Kulia ni Mratibu wa shindano hilo la Dance 100%, Happy Shame. Mratibu wa shindano la Dance 100%, Happy Shame ( kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam… ...
10 years ago
GPLWASHIRIKI WA DANCE 100% WAENDELEA KUJIFUA KWA NUSU FAINALI CHINI YA VODACOM
Mstafa Yahaya mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la “Tatanisha Dancers†la Mabibo  jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya  kujiandaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu  kwenye Viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.… ...
10 years ago
GPLMAZABE POWDER WATAMBA KUINGIA NUSU FAINALI YA DANCE 100% CHINI YA VODACOM TANZANIA
Kikundi cha Mazabe Powder cha kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,kinachoshiriki shindano la Dance 100% wakielekee mazoezini kujindaa na robofainali itakayofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la Mazabe Powder la kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini kujiandaa kwa mchuano wa robo fainali...
10 years ago
GPLMABINGWA WA DANCE 100%WAUNGANISHWA NA MTANDAO WA VODACOM
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akiwakabidhi rasmi vijana wa kundi laâ€WAKALI SISIâ€la kiwalani jijini Dar es Salaam simu zao aina ya Vodafone Smart Kicka,ambazo ni moja kati ya zawadi walizojishindia katika fainali za shindano la Dance 100% hivi karibuni na kujishindia kitita cha Tsh Milioni 5 na simu hizo zimeunganishwa na mtandao wa Vodacom Tanzania muda wa maongezi...
11 years ago
MichuziWASHIRIKI WA DANCE 100% WAADHIMISHA SIKU YA VIJANA VODACOM
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia akifafanua jambo kwa washiriki walioingia robo fainali katika shindano la Dance 100% walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam na kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo litakalofanyika Agosti 23 limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na Mshindi wa shindano hilo atajinyakulia...
10 years ago
MichuziMAKUNDI MATANO YAINGIA FAINALI YA DANCE 100%CHINI YA VODACOM
Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la”Wakali sisi” Buguruni jijini Dar es Salaam,wakionesha umahiri wao wa kudansi wakati wa mchuano wa nusu fainali ya shindano hilo lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lililofanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay,Makundi 5 kati ya 10 yameingia fainali itakayofanyika mwezi ujao.Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akikausha maji ya mvua iliyokuwa ikinyesha kwa wingi wakati shindano la nusu fainali...
11 years ago
GPL‘DANCE 100’ WILAYA YA TEMEKE WADHAMINIWA NA VODACOM
Kikundi cha  Street Dance cha Mbagala, jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kudansi wakati wa shindano la robo fainali. Wachezaji Manuary kutoka Majohe,  Pugu, Dar, wakiwa kazini.…
11 years ago
MichuziVODACOM YASABABISHA VILIVYO ROBO FAINALI YA DANCE 100 CHANG'OMBE
Kikundi cha Street Dance cha Mbagara jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wa kudansi wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi 15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.Wachezaji wa kundi la Manuary kutoka Majohe Pugu jijini Dar es...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania