Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘DANCE 100’ WILAYA YA TEMEKE WADHAMINIWA NA VODACOM

Kikundi cha  Street Dance cha Mbagala, jijini  Dar es Salaam, wakionyesha umahiri  wao wa kudansi wakati wa shindano la robo fainali. Wachezaji Manuary  kutoka Majohe,  Pugu, Dar, wakiwa kazini.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Makundi 5 yang'ara ndani ya Temeke kwenye usaili wa kwanza Dance 100% 2015 Temeke

Usili wa kwanza wa Dance 100% (2015) umefanyika kwa mafanikio makubwa Temeke jijini Dar es Salaam, ambapo makundi ya Team ya Shamba, The WT Group, WD, The Best Boys Kaka Zao na Team Makorokocho wameweza kushinda nafasi ya kuingia katika michuano kutoka wilaya ya Temeke.
Makundi haya yamechuana vikali na mengine 6 yanayokamilisha idadi ya makundi 11, UNI 6 Crew, GMF Crew, TWC, Dar Crew, Noma Sana Crew, na Viga Stars yaliyojitokeza kuwania nafasi hiyo katika usajili huo wa kwanza.


Mratibu wa...

 

10 years ago

GPL

MABINGWA WA DANCE 100%WAUNGANISHWA NA MTANDAO WA VODACOM

Meneja Uhusiano wa Umma  wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akiwakabidhi rasmi vijana wa kundi la”WAKALI SISI”la kiwalani jijini Dar es Salaam simu zao aina ya Vodafone Smart Kicka,ambazo ni moja kati ya zawadi walizojishindia  katika fainali za shindano la Dance 100% hivi karibuni na kujishindia kitita cha  Tsh Milioni 5 na simu hizo zimeunganishwa na mtandao wa Vodacom Tanzania  muda wa maongezi...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom, EATV wafagiliwa kuibua vipaji Dance 100%

Hassan Tofi mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la Best Boys la Kigamboni jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao yanayofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Upanga ikiwa ni sehemu ya kujindaa na fainali ya shindano hilo litakalofanyika hivi karibuni. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
WADAU wa muziki nchini wamewapongeza waratibu wa shindano la Dance 100% ambalo limefikia hatua ya fainali, baada ya makundi matano...

 

11 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA DANCE 100% WAADHIMISHA SIKU YA VIJANA VODACOM

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia akifafanua jambo kwa washiriki walioingia robo fainali katika shindano la Dance 100% walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam na kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo litakalofanyika Agosti 23 limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na Mshindi wa shindano hilo atajinyakulia...

 

10 years ago

Michuzi

MAKUNDI MATANO YAINGIA FAINALI YA DANCE 100%CHINI YA VODACOM

Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la”Wakali sisi” Buguruni jijini Dar es Salaam,wakionesha umahiri wao wa kudansi wakati wa mchuano wa nusu fainali ya shindano hilo lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lililofanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay,Makundi 5 kati ya 10 yameingia fainali itakayofanyika mwezi ujao.Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akikausha maji ya mvua iliyokuwa ikinyesha kwa wingi wakati shindano la nusu fainali...

 

10 years ago

GPL

VODACOM NA EATV WAFAGILIWA KUIBUA VIPAJI DANCE 100%‏

Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la ”The Winners Crew” la jijini Dar es Salaam, wakionesha umahiri wao wa kudansi wakati wa mchuano wa nusu fainali ya shindano hilo linaloadaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lililofanyika  kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay. WADAU wa muziki nchini wamewapongeza waratibu wa shindano la Dance 100% ambalo limefikia hatua ya fainali, baada ya makundi...

 

11 years ago

Michuzi

VODACOM YASABABISHA VILIVYO ROBO FAINALI YA DANCE 100 CHANG'OMBE

Kikundi cha Street Dance cha Mbagara jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wa kudansi wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi 15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.Wachezaji wa kundi la Manuary kutoka Majohe Pugu jijini Dar es...

 

10 years ago

GPL

FAINALI YA DANCE 100 J'MOSI CHINI YA VODACOM TANZANI‏

Meneja wa Uhusiano wa Umma  wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana juu ya fainali  ya mashindano hayo yatakayofanyika jumamosi Don Bosco Oysterbay jijini. Kulia ni Mratibu wa shindano  hilo la Dance 100%, Happy Shame. Mratibu wa shindano la Dance 100%, Happy Shame ( kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam… ...

 

10 years ago

Michuzi

SHINDANO LA DANCE 100% LAZIDI KUPAMBA MOTO CHINI YA VODACOM TANZANI

 Wasanii wa Kundi la Quality Boys kutoka Temeke jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi  wakati wa usaili wa tatu wa shindano la Dance 100% 2015 uliofanyika kwenye viwanja vya Leaders  Clup Kinondoni  jijini  Dar es Salaam.Shindano hilo limeandaliwa na EATV na   kudhaminiwa na Vodacom Tanzania. aadhi mashabiki waliojitokeza kwenye viwanja vya Leaders Club  jijini Dar es Salaam, wakifuatilia usaili wa tatu  wa shindano la  Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani