Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MISS MANYARA 2014 KUPATIKANA JUNI 14 MJINI BABATI

Kinyanganyiro cha kuwania taji la Miss Manyara 2014, kinatarajia kufanyika Juni 14 mwaka huu katika ukumbi wa CCM Mkoa, mjini Babati, ambapo warembo kumi wanatarajia kuchuana.
Mkurugenzi wa Mirerani Entertainment, Akon Clement ambaye ni Mratibu wa mashindano hayo alisema mgeni rasmi wa mashindano hayo anatarajiwa kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mary Nagu.
Akon alisema msanii maarufu wa kizazi kipya, Bob Junior kutoka jijini Dar es salaam anatarajiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MISS MANYARA 2014 KUFANYIKA KESHO UKUMBI WA CCM MJINI BABATI

Na Woinde Shizza, Manyara   Kinyanganyiro cha kugombea Redd's Miss Manyara 2014, kinatarajia kufanyika kesho Jumamosi Juni 14 mwaka huu katika ukumbi wa CCM Mkoa, mjini Babati, ambapo warembo 10 wanatarajia kuchuana.   Mkurugenzi wa Mirerani Entertainment, Akon Clement ambaye ni Mratibu wa mashindano hayo alisema mgeni rasmi wa mashindano hayo anatarajiwa kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mary Nagu.   Akon alisema msanii maarufu wa kizazi kipya, Bob Junior...

 

10 years ago

Michuzi

TUNDA MAN ASINDIKIZA SHOW YA VIPAJI WAREMBO MISS TANZANIA BABATI MKOANI MANYARA

 Warembo 15 kati ya 30 wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakisindikizwa na mkali wa Bongo Fleva kutoka Jijini Dar es Salaam, Tunda Man, wametoa burudani kali wakati wa shindano dogo la awali la kumtafuta mrembo mwenye kipaji lililofanyika Babati Mkoani Manyara. Pichani juu ni washindi wa tano waliofanikiwa kuingia fainali ya shindano hilo la vipaji litakalofanyika jijini Dar es Salaam baada ya wengine 15 kufanyika Arusha mjini. 
 Msanii wa Bongo Fleva  Tunda Man akitoa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Redd’s Miss Tanzania 2014 kupatikana leo Dar

WASICHANA 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, jioni ya leo watapanda jukwaani kujaribu bahati katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Warembo hao waliopo kambini kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Miss morogoro 2014 kupatikana leo nashera hotel ya mji kasoro bahari

 Na John Nditi WAREMBO 15 wamejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania  kunyakua taji la Miss Morogoro 2014 litakalofanyika  leo Juni 13,   kwenye  ukumbi wa Hoteli ya Nashera ya Mjini Morogoro. Katika kinyang’anyiro hicho, Msanii wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tundaman’ anatarajia kupanda jukwaani kutoa burdani wakati wa kumsaka malikia wa  Redd’s Miss Morogoro wa mwaka huu. Warembo hao  wamejitokeza kuwania taji hilo linaloshikiliwa na Msomi wa  Chuo cha Usimamizi wa Fedha ( IFM) ,...

 

11 years ago

GPL

MISS MANYARA 2014 KUFANYIKA KESHO

 Warembo wanaogombania Miss Manyara 2014 Warembo wanaogombania Miss Manyara 2014 wakiwa wanacheza mmoja ya wimbo watakaoucheza katika siku ya mashindano ikiwa ni moja ya sehemu ya mazoezi.
Kinyanganyiro cha…

 

11 years ago

Michuzi

Cosmas Cheka kupambana na Suma Ninja Juni 1, 2014 mjini Morogoro

BONDIA Cosmas Cheka anatarajia kupanda ulingoni Juni 1, 2014 kwa ajili ya kutetea taji lake la ubingwa wa TPBO anaoshikilia kwa kupambana na Suma Ninja katika ukumbi wa vijana socil hall wa Morogoro. Cheka amesema amejiandaa kupigana kawa raundi kumi hivyo mashabiki waje kuona kazi anayoifanya akiwa ulingoni bondia huoyo ambaye anatamba sambamba na kaka yake Francis Cheka ambaye alikuwa bingwa wa WBF ambao alivuliwa kizembe. Amesema yeye anataka afike mbali zaidi ya kaka yake...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MANYARA YAWASHIKILIA MWENYEKITI NA KATIBU WA CCM BABATI


Na Mwandishi wetu, Babati 
TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) Mkoani Manyara inamshikilia Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Maisaka kati Bakari Khatibu na katibu wa Tawi hilo Juma Swalehe wote wakazi wa wilaya ya Babati kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya sh. 200,000 kutoka kwa Mwinjilist wa kanisa la kinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) mtaa wa Komoto.
Mkuu wa Takukuru Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu aliyasema hayo mjini Babati wakati...

 

10 years ago

Michuzi

Umeme wa uhakika, Chato, Biharamulo kupatikana Juni, 2015

Na Teresia Mhagama
Imeelezwa kuwa wilaya za Chato na Biharamulo zitapata umeme wa uhakika ifikapo mwanzoni mwa mwezi Juni mwaka huu mara baada ya kukamilika kwa ufungaji wa mtambo wa pili wa umeme wilayani Biharamulo mkoani Kagera.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Kagera na kujionea maendeleo ya ufungaji wa mtambo huo utakozalisha umeme wa kiasi cha kilowati 650. Mwijage amesema kuwa mtambo huo utakaoanza kazi...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA WAZIRI WA ARDHI MH. WILLIAM LUKUVI BABATI MKOANI MANYARA

1aMkuu wa mkoa wa Manyara ,Mhe.Joel Nkaya Bendera akizungumza katika kikao cha viongozi wa wilaya zote za mkoa huo kilichofanyika ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Babati,kushoto ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Mhe.William Lukuvi na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Babati,Crispin Meela.Mhe.Bendera amesisitiza nidhamu ya kazi katika kuhudumia wananchi na ameapa kuwaondoa watendaji wabovu mkoani humo.2aWaziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Mhe.William Lukuvi akizungumza katika kikao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani