Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umeme wa uhakika, Chato, Biharamulo kupatikana Juni, 2015

Na Teresia Mhagama
Imeelezwa kuwa wilaya za Chato na Biharamulo zitapata umeme wa uhakika ifikapo mwanzoni mwa mwezi Juni mwaka huu mara baada ya kukamilika kwa ufungaji wa mtambo wa pili wa umeme wilayani Biharamulo mkoani Kagera.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Kagera na kujionea maendeleo ya ufungaji wa mtambo huo utakozalisha umeme wa kiasi cha kilowati 650. Mwijage amesema kuwa mtambo huo utakaoanza kazi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Chato, Biharamulo kupata umeme wa uhakika kuanzia Jumapili

Na Teresia Mhagama Imeelezwa kuwa Wilaya za Chato na Biharamulo zitaanza tena kupata umeme wa uhakika ifikapo Jumapili ya tarehe 19 Julai, 2015 baada ya kukamilika kwa ukarabati wa mtambo wa umeme wa kilowati 650 unaohudumia wilaya hizo.  Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Kagera na kujionea maendeleo ya ufungaji wa mtambo huo wa pili uliofungwa wilayani Biharamulo ambao ulianza kufanya kazi mwanzoni mwa mwezi Juni mwaka...

 

9 years ago

Michuzi

DK MAGUFULI ATINGA KIJIJINI KWAKE CHATO , AZURU KABURI LA ALIYEKUWA MWALIMU WAKE WA DARASA LA KWANZA BIHARAMULO

o Dk Magufuli akiwafariji ndugu wa aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu Cornel Pastory alipozuru kaburi la mwalimu huyo wilayani Biaharamulo Dk Magufuli akiwafariji ndugu wa aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu, Cornel Pastrory  alipkwenda kuzuru kaburi Mwalimu Cornel Pastory enzi za uhai wake Dk Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu, Cornel Pastory. Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na...

 

11 years ago

Michuzi

MISS MANYARA 2014 KUPATIKANA JUNI 14 MJINI BABATI

Kinyanganyiro cha kuwania taji la Miss Manyara 2014, kinatarajia kufanyika Juni 14 mwaka huu katika ukumbi wa CCM Mkoa, mjini Babati, ambapo warembo kumi wanatarajia kuchuana.
Mkurugenzi wa Mirerani Entertainment, Akon Clement ambaye ni Mratibu wa mashindano hayo alisema mgeni rasmi wa mashindano hayo anatarajiwa kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mary Nagu.
Akon alisema msanii maarufu wa kizazi kipya, Bob Junior kutoka jijini Dar es salaam anatarajiwa...

 

9 years ago

Habarileo

Umeme wa uhakika kesho

SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) kesho linatarajia kuwasha rasmi mitambo inayotumia umeme wa gesi inayotoka Mtwara, huku ikielezwa kuwa tatizo la upatikanaji umeme wa uhakika, sasa litakuwa historia.

 

9 years ago

Mwananchi

Tanesco yaahidi umeme wa uhakika wiki hii

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema umeme wa uhakika utaanza kupatikana mwishoni mwa wiki baada mitambo ya kufua umeme ya Ubungo kuwashwa kwa ajili ya majaribio.

 

10 years ago

Habarileo

Dar kuwa na umeme wa uhakika miaka miwili ijayo

WIZARA ya Nishati na Madini, imewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam kuwa na umeme wa uhakika ndani ya miaka miwili, huku ikianza kuachana na mpango wa kuwa na nguzo za miti badala yake kutumia za zege.

 

10 years ago

Michuzi

Umeme wa uhakika ndiyo nguzo ya maendeleo ya uchumi nchini — IPTL

 Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), iliyo chini ya Pan Africa Power Solutions (PAP), Bw. Harbinder Sethi (Kushoto), akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) maboresho yaaliyofanyika katika kiwanda hicho tangu PAP ilipochukua uongozi wa IPTL. Wakishuhudia ni baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya IPTL. 
 Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), iliyo chini ya Pan Africa Power...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA BANDARI NA RELI WAKUTANA NA KAMPUNI YA BESIX YA UBELGIJI,PIA WATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA MTAMBO WA KUZALISHA UMEME UTAKAOPELEKWA BIHARAMULO

Wadau wa bandari na reli wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kampuni ya BESIX ya Ubelgiji baada ya kumaliza kikao cha pamoja na kampuni hiyo. Kampuni ya BESIX ilianzishwa mwaka 1909 na imeajiri watu 19,0000. Mwaka jana kampuni hiyo ilipata faida Euro 2.13 bilioni. Pamoja na mambo mengine, kampuni hiyo imehaidi kusaidia shughuli za jamii Tanzania kupitia taasisi yake inayosaidia shughuli mbalimbali za jamii (BESIX FOUNDATION). Wadau wa reli na bandari wakishuhudia...

 

10 years ago

Mwananchi

Umeme kushuka bei zaidi Juni

Bei ya umeme inatarajiwa kushuka zaidi kuanzia Juni mwaka huu kutokana na kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani