Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK MAGUFULI ATINGA KIJIJINI KWAKE CHATO , AZURU KABURI LA ALIYEKUWA MWALIMU WAKE WA DARASA LA KWANZA BIHARAMULO

o Dk Magufuli akiwafariji ndugu wa aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu Cornel Pastory alipozuru kaburi la mwalimu huyo wilayani Biaharamulo Dk Magufuli akiwafariji ndugu wa aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu, Cornel Pastrory  alipkwenda kuzuru kaburi Mwalimu Cornel Pastory enzi za uhai wake Dk Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu, Cornel Pastory. Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI AZURU KABURI LA ALIYEKUWA MWALIMU WAKE WA DARASA LA KWANZA BIHARAMULO

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi  kwa wananchi huku akishangiliwa aliposimama kusalimia katika Mji wa Nyakanazi, wilayani Biharamulo, Mkoa wa Kagera leo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Wakazi wa Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma wakati wa mkutano wa kampeni Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba za Dk Magufuli wilayani Kakonko, Kigoma
 Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi Mgombea ubunge jimbo la Kakonko, Christopher...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AZURU KABURI LA ALIYEKUWA MWALIMU WAKE WA DARASA LA KWANZA BIHARAMULO

  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimia na ndugu wa Marehemu Cornel Pastory,alipowasili kwenye kijiji cha Nyakantutu,wilayani Biharamulo.Dkt Magufuli amemaliza mikutano yake ya kampeni mkoani Kigoma na kuelekea nyumbani kwake wilayani Chato kwa mapumziko ya siku mbili,ambapo siku ya jumapili atawahutubia Wananchi mjini humo na kisha kuanza ziara yake mkoani Kagera. Marehemu Cornel Pastory enzi za uhai wake  Dk Magufuli...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE

Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ukiwasili nyumbani kwa familia ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ambako alika kusalimia familia hiyo na kuzuru kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, leo, katika Kijiji cha Mwitongo, Butiama, akiwa kaika ziara ya kufanya mikutano ya kampeni katika mkoa wa Mara.Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimsalimia mtoto wa sita wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere, Madaraka Nyerere,...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AZURU KABURI LA SOKOINE

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Pombe Magufuli akiweka shada kwenye kaburi la Waziri Mkuu wa zamani, Edward Moringe Sokoine, Monduli Juu. Mke wa Sokoine na binti yake (amabaye ni mgombea ubunge wa Jimbo la Monduli kwa tiketi ya CCM, Namelock Sokoine) wakiweka shada kwenye kaburi hilo. Magufuli akicheza ngoma ya kabila la Kimasai. PICHA: RICHARD BUKOS ALIYEKO… ...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA BUTIAMA LEO

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka saini kwenye kitabu cha wageni nyumbani kwa Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere,kulia ni Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na kushoto ni Chief wa Wazanaki Japhet Wanzagi. Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiongozana na watoto wa Baba wa taifa pamoja na Chief Japhet Wanzagi kuelekea kwenye kaburi la Baba wa Taifa.Wakiwa na Mashada yao kwa ajili ya kuweka kwenye kaburi la Baba wa TaifaMgombea ...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwalimu Aliyekuwa Akijisaidia Chumbani Kwake Kwenye Vyombo, Angundulika Ana Tatizo la Kiakili

Mwalimu wa shule ya Sekondari Kibasila, Gaudensia Albert aliyekuwa akihifadhi kinyesi ndani kwake kwa miaka miwili amepelekwa Hospitali ya Muhimbili baada ya daktari wa Hospitali ya Temeke kubaini ana matatizo ya akili.Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule hiyo, Kyando amesema baada ya kugundulika kwa tukio hilo walimpeleka Hospitali ya Temeke kwa kuangalia afya yake ambapo daktari akasema ana tatizo la akili, wakamuhamishia Muhimbili.Baada ya kufikishwa Muhimbili madaktari walimpatia dawa ambazo...

 

9 years ago

CCM Blog

MAGUFULI APIGA KURA JIMBONI KWAKE CHATO

 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga kura kwenye kituo namba moja kilichopo shule ya msingi Magufuli iliyopo Chato, mkoani Geita.
Dk. Magufuli alipiga kura yake asubuhi ya saa 4 na dakika 32.
 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akijitayarisha kuweka kura yake kwenye sanduku la kura .
 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka kura yake ya kwanza ya urais kwenye sanduku la kura.
 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli...

 

11 years ago

Michuzi

MH. MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA JIMBONI KWAKE CHATO

Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Chato, Mhe. Dk. John Magufuli akihutubia wanachi wa kijiji cha Nyisanzi kata ya Kigongo. Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato akielezea namna Halamshauri inavyojitahidi kuboresha huduma mbalimbali kwa wananchi wa kata ya Nyarutembo. kikundi cha Burudani kutoka kata ya Nyarutembo kikitumbuiza wakati Mbunge wa Jimbo la Chato alipotembelea eneo hilo. wananchi wa kitongoji cha Nyabirere kata ya Muganza wakiwa wamezuia msafara wa Mhe. Dk....

 

9 years ago

Dewji Blog

Dk. Magufuli apiga kura jimboni kwake Chato

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli akipiga kura yake jimboni kwake Chato mapema leo asubuhi Oktoba 25, 2015.(PICHA NA MWANDISHI WETU).

1610819_10153509358794504_7893761609942307368_n

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani