Mwalimu Aliyekuwa Akijisaidia Chumbani Kwake Kwenye Vyombo, Angundulika Ana Tatizo la Kiakili
![](http://3.bp.blogspot.com/-dR-C6qzaFi4/VPljn0DKmcI/AAAAAAAApiQ/Lyz9EIAjSNA/s72-c/mwalimu%2Bwak.jpg)
Mwalimu wa shule ya Sekondari Kibasila, Gaudensia Albert aliyekuwa akihifadhi kinyesi ndani kwake kwa miaka miwili amepelekwa Hospitali ya Muhimbili baada ya daktari wa Hospitali ya Temeke kubaini ana matatizo ya akili.Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule hiyo, Kyando amesema baada ya kugundulika kwa tukio hilo walimpeleka Hospitali ya Temeke kwa kuangalia afya yake ambapo daktari akasema ana tatizo la akili, wakamuhamishia Muhimbili.
Baada ya kufikishwa Muhimbili madaktari walimpatia dawa ambazo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboHABARI KAMILI YA MWALIMU WA KIKE ALIYEKUTWA NA KINYESI CHUMBANI KWAKE
HII ni simulizi ya aibu! Tukio la mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kibasila jijini Dar, Gaudensia Albert, mkazi wa Kisiwani Kata ya Sandali wilayani Temeke kuishi na vinyesi, mikojo na matapishi chumbani kwake, limeibua mshtuko na aibu ndani yake.
Kwa mujibu wa...
9 years ago
MichuziDK MAGUFULI ATINGA KIJIJINI KWAKE CHATO , AZURU KABURI LA ALIYEKUWA MWALIMU WAKE WA DARASA LA KWANZA BIHARAMULO
11 years ago
BBCSwahili30 Jun
Pistorius hana tatizo la kiakili
11 years ago
Habarileo24 Jan
Ajinyonga chumbani kwake
MKAZI mmoja wa Ukonga aliyetambulika kwa jina la Justine Tumbeza (43) amekutwa chumbani kwake amejinyonga.
11 years ago
Habarileo11 Jun
Akutwa amekufa chumbani kwake
MFANYABIASHARA Mkazi wa Kigogo, Kinondoni, Idd Abdalah (31) amekutwa amekufa chumbani kwake huku mwili wake ukiwa hauna jeraha lolote.
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Mwanafunzi UDSM akutwa amekufa chumbani kwake
WATU wawili wamefariki dunia katika matukio tofauti jijini Dares Salaam akiwemo mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Sekabenga Mwakimenya (22) kukutwa amekufa chumbani kwake. Kamanda wa Polisi...
11 years ago
Habarileo26 Jun
Aliyekuwa Mkurugenzi TBS ana kesi ya kujibu
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege anayekabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kulisababishia shirika hilo hasara ya Sh milioni 68, amepatikana na kesi ya kujibu.
11 years ago
CloudsFM04 Jul
POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA
Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.
KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.
Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...
11 years ago
Bongo504 Aug
Picha: Wajua kuwa Vanessa Mdee ana dada aliyekuwa mtangazaji maarufu wa TV na redio Kenya?