MAGUFULI AZURU KABURI LA ALIYEKUWA MWALIMU WAKE WA DARASA LA KWANZA BIHARAMULO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimia na ndugu wa Marehemu Cornel Pastory,alipowasili kwenye kijiji cha Nyakantutu,wilayani Biharamulo.Dkt Magufuli amemaliza mikutano yake ya kampeni mkoani Kigoma na kuelekea nyumbani kwake wilayani Chato kwa mapumziko ya siku mbili,ambapo siku ya jumapili atawahutubia Wananchi mjini humo na kisha kuanza ziara yake mkoani Kagera.
Marehemu Cornel Pastory enzi za uhai wake
Dk Magufuli...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDK MAGUFULI AZURU KABURI LA ALIYEKUWA MWALIMU WAKE WA DARASA LA KWANZA BIHARAMULO
10 years ago
MichuziDK MAGUFULI ATINGA KIJIJINI KWAKE CHATO , AZURU KABURI LA ALIYEKUWA MWALIMU WAKE WA DARASA LA KWANZA BIHARAMULO
10 years ago
Vijimambo
MAMA SAMIA AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE


10 years ago
GPL
MAGUFULI AZURU KABURI LA SOKOINE
10 years ago
Michuzi
MAGUFULI AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA BUTIAMA LEO




10 years ago
VijimamboDK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'
5 years ago
Michuzi
Mwalimu mkuu ahukumiwa kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi mwanafunzi wake wa darasa la saba

Mahakama ya wilaya ya Makete mkoani Njombe imemhukumu mwalimu mkuu wa shule ya Msingi Iwale Mwl.Steven Mahenge kulipa faini ya shilingi Laki 5 au kwenda jela miezi minne kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi mwanafunzi wake anayesoma darasa la 7 mwenye umri wa miaka 13 ambaye jina linahifadhiwa
Pia Mahakama hiyo imetoa amri ya mshtakiwa kulipa fidia ya shilingi Laki 1 kwa mlalamikaji kutokana na kosa alilomtendea lililopelekea kudhurika mwili wake
Hakimu mkazi wa...
10 years ago
GPLDK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'
10 years ago
Vijimambo
KINANA AZURU KABURI LA DK.OMAR ALI JUMA


