DK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo, wilayani Butiama, Mkoa wa Mara jana , aliposimama kwa muda akielekea kwenye mkutano wa kampeni wilayani huo leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya. Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akiweka shada la la maua alipozuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo wilayani Butiama,...
Vijimambo