Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chato, Biharamulo kupata umeme wa uhakika kuanzia Jumapili

Na Teresia Mhagama Imeelezwa kuwa Wilaya za Chato na Biharamulo zitaanza tena kupata umeme wa uhakika ifikapo Jumapili ya tarehe 19 Julai, 2015 baada ya kukamilika kwa ukarabati wa mtambo wa umeme wa kilowati 650 unaohudumia wilaya hizo.  Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Kagera na kujionea maendeleo ya ufungaji wa mtambo huo wa pili uliofungwa wilayani Biharamulo ambao ulianza kufanya kazi mwanzoni mwa mwezi Juni mwaka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Umeme wa uhakika, Chato, Biharamulo kupatikana Juni, 2015

Na Teresia Mhagama
Imeelezwa kuwa wilaya za Chato na Biharamulo zitapata umeme wa uhakika ifikapo mwanzoni mwa mwezi Juni mwaka huu mara baada ya kukamilika kwa ufungaji wa mtambo wa pili wa umeme wilayani Biharamulo mkoani Kagera.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Kagera na kujionea maendeleo ya ufungaji wa mtambo huo utakozalisha umeme wa kiasi cha kilowati 650. Mwijage amesema kuwa mtambo huo utakaoanza kazi...

 

9 years ago

Michuzi

DK MAGUFULI ATINGA KIJIJINI KWAKE CHATO , AZURU KABURI LA ALIYEKUWA MWALIMU WAKE WA DARASA LA KWANZA BIHARAMULO

o Dk Magufuli akiwafariji ndugu wa aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu Cornel Pastory alipozuru kaburi la mwalimu huyo wilayani Biaharamulo Dk Magufuli akiwafariji ndugu wa aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu, Cornel Pastrory  alipkwenda kuzuru kaburi Mwalimu Cornel Pastory enzi za uhai wake Dk Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu, Cornel Pastory. Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na...

 

9 years ago

Vijimambo

Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika.

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.

Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...

 

9 years ago

Habarileo

Umeme wa uhakika kesho

SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) kesho linatarajia kuwasha rasmi mitambo inayotumia umeme wa gesi inayotoka Mtwara, huku ikielezwa kuwa tatizo la upatikanaji umeme wa uhakika, sasa litakuwa historia.

 

11 years ago

GPL

NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-7

Tunaendelea na mada yetu ya kujadili njia za uhakika za kupata mtaji wa kuanzisha biashara. Tumeshajadili mbinu tatu: Kuweka akiba, kutafuta kipato cha ziada na kuuza rasilimali zako ili upate kianzio. Leo tunaendelea na njia ya nne. OMBA MSAADA KWA NDUGU, JAMAA AU MARAFIKI
Wakati mwingine, njia pekee ya kuweza kutoka maishani ni kwa kupitia mtandao wa watu wanaokuzunguka. Ndiyo maana kuna usemi maarufu katika lugha ya...

 

11 years ago

GPL

NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-10

Wiki iliyopita niliishia kuelezea jinsi nilivyokuwa na uwezo wa kuwasiliana vizuri na mtu mmojammoja  au kikundi cha watu kwenye mikutano kwa lugha zote mbili, Kiswahili na Kiingereza bila hofu wala kubabaika. Sasa endelea....... Watu wakaanza kuniuliza niliwezaje kufanya hivyo, hiyo ikanipa msukumo kuanzisha biashara yangu ya kwanza kabisa ya kituo cha kuwafundisha watu wazima Lugha ya Kiingereza (English courses).
Kwa kuwa...

 

11 years ago

GPL

NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-5

UZA RASILIMALI ZAKO UPATE KIANZIO
Kuna watu wengi sana wanasema kuwa hawana mtaji leo hii wakati wamekalia utajiri majumbani mwao.
Hii inatokea kwa kuwa mjasiriamali husika hajaambiwa au yeye mwenyewe hajakaa chini na kufikiri kwa makini. Ukweli ni kwamba kazi ya kufikiria ndiyo kazi ngumu kuliko zote duniani! Mwandishi wa Hadithi ya ‘Acres of Diamond’ (Ekari za Almasi), Russell H. Conwell, ambaye alizunguka...

 

9 years ago

Mwananchi

Tanesco yaahidi umeme wa uhakika wiki hii

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema umeme wa uhakika utaanza kupatikana mwishoni mwa wiki baada mitambo ya kufua umeme ya Ubungo kuwashwa kwa ajili ya majaribio.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani