NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-5

UZA RASILIMALI ZAKO UPATE KIANZIO Kuna watu wengi sana wanasema kuwa hawana mtaji leo hii wakati wamekalia utajiri majumbani mwao. Hii inatokea kwa kuwa mjasiriamali husika hajaambiwa au yeye mwenyewe hajakaa chini na kufikiri kwa makini. Ukweli ni kwamba kazi ya kufikiria ndiyo kazi ngumu kuliko zote duniani! Mwandishi wa Hadithi ya ‘Acres of Diamond’ (Ekari za Almasi), Russell H. Conwell, ambaye alizunguka...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-10
11 years ago
GPL
NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-7
10 years ago
GPL
10 years ago
Mwananchi18 Jun
Jinsi ya kuanzisha biashara bila mtaji
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Mtitu: Mtaji wa Sh145,000 uliwezesha kuanzisha kampuni
10 years ago
Michuzi
Chato, Biharamulo kupata umeme wa uhakika kuanzia Jumapili
5 years ago
Michuzi
CHAURU YATARAJIA KUPATA SOKO LA UHAKIKA MSIMU HUU MPYA-CHACHA

NA MWAMVUA MWINYI, PWANI
CHAMA Cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Mpunga Ruvu (CHAURU) ,uliopo Ruvu ,Chalinze mkoani Pwani ,kinatarajia kuondokana na kilio cha ukosefu wa soko la uhakika la mchele ,katika msimu wa mavuno 2020/2021 baada ya kupatikana mnunuzi kutoka nchini Uholanzi.
Aidha ushirika huo ,unalenga kuzalisha na kuinua mavuno kwa wakulima wake kutoka tani 4,700 walizopata msimu uliopita na kufikia tani 5,500 kwa mwaka huu.
Akielezea malengo ya msimu mpya wa kilimo cha...
10 years ago
Michuzi
Airtel yawapatia kundi la walemavu mtaji na mafunzo ya biashara

11 years ago
Mwananchi08 Jun
Maridhiano muhimu kupata Katiba Mpya, nchi bora, imara na yenye ustawi wa uhakika