Mtitu: Mtaji wa Sh145,000 uliwezesha kuanzisha kampuni
>Kuibuka kwa nyota mbalimbali wa filamu nchini akiwamo Irene Uwoya, Aunty Ezekiel, Mariam Ismail, Yusuph Mlela haikutokea kama mvua bali ni kazi iliyofanywa na waliowatangulia katika fani hiyo, waliokuwa na mtazamo wa mbali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Jun
Jinsi ya kuanzisha biashara bila mtaji
Wengi huamini kuwa lazima uwe na fedha ndiyo uanzishe biashara na ndiyo sababu yao kuu ya kukaa bila kujishughulisha. Ukweli ni kwamba mtaji ni moja ya kitu muhimu katika kuanzisha biashara, lakini kuna aina ya biashara ambazo zinahitaji gharama ndogo kuanzisha na kukupelekea kupata faida kubwa.
11 years ago
GPL
NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-5
UZA RASILIMALI ZAKO UPATE KIANZIO
Kuna watu wengi sana wanasema kuwa hawana mtaji leo hii wakati wamekalia utajiri majumbani mwao.
Hii inatokea kwa kuwa mjasiriamali husika hajaambiwa au yeye mwenyewe hajakaa chini na kufikiri kwa makini. Ukweli ni kwamba kazi ya kufikiria ndiyo kazi ngumu kuliko zote duniani! Mwandishi wa Hadithi ya ‘Acres of Diamond’ (Ekari za Almasi), Russell H. Conwell, ambaye alizunguka...
11 years ago
GPL
NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-7
Tunaendelea na mada yetu ya kujadili njia za uhakika za kupata mtaji wa kuanzisha biashara. Tumeshajadili mbinu tatu: Kuweka akiba, kutafuta kipato cha ziada na kuuza rasilimali zako ili upate kianzio. Leo tunaendelea na njia ya nne. OMBA MSAADA KWA NDUGU, JAMAA AU MARAFIKI
Wakati mwingine, njia pekee ya kuweza kutoka maishani ni kwa kupitia mtandao wa watu wanaokuzunguka. Ndiyo maana kuna usemi maarufu katika lugha ya...
11 years ago
GPL
NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-10
Wiki iliyopita niliishia kuelezea jinsi nilivyokuwa na uwezo wa kuwasiliana vizuri na mtu mmojammoja au kikundi cha watu kwenye mikutano kwa lugha zote mbili, Kiswahili na Kiingereza bila hofu wala kubabaika. Sasa endelea....... Watu wakaanza kuniuliza niliwezaje kufanya hivyo, hiyo ikanipa msukumo kuanzisha biashara yangu ya kwanza kabisa ya kituo cha kuwafundisha watu wazima Lugha ya Kiingereza (English courses).
Kwa kuwa...
11 years ago
Mwananchi16 Oct
Mtaji wa Sh100,000 unaolenga kuokoa mamilioni
“Niliamua kuanza mradi wa kutengeneza majiko kwa lengo la kuokoa mamilioni ya miti yanayotoketea kwa kutumiwa kupikia,†anasema Michael Sanga, mjasiriamali anayeishi Kyela mkoani hapa.
10 years ago
Michuzi
makala ya sheria: UNAFAHAMU NINI KUHUSU MTAJI WA KAMPUNI.

11 years ago
GPL
MTITU: RAIS KIKWETE ALINIFANYA NIANZISHE KAMPUNI YA KUSAMBAZA FILAMU
Makala: Elvan Stambuli
WILLIAM Mtitu ni mdau mkubwa wa filamu hapa nchini anayefahamika na wapenzi wengi wa tasnia hiyo.
Yeye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya 5 Effects Movies Ltd inayojihusisha na usambazaji wa filamu nchini, muigizaji na muongozaji pia. Amepata mafaniko katika kazi hizo. Mkurugenzi wa Kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, William Mtitu ndani ya… ...
5 years ago
MichuziJAMBO YAMCHANGIA SHILINGI 500,000/= KUONGEZA MTAJI MWANAMKE SHUJAA MWENYE ULEMAVU
Kampuni ya Utengenezaji na Usambazaji wa Vinywaji baridi ‘Jambo Food Products Limited’ ya mkoani Shinyanga imemsaidia mtaji wa shilingi 500,000/= Mwanamke mwenye ulemavu Happiness Kwigema anayejishughulisha na biashara ya pipi na sabuni za kufulia Mjini Shinyanga.
Fedha hizo Taslimu zimekabidhiwa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) kwenye Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani ambayo katika mkoa wa Shinyanga yaliyofanyika katika kijiji cha Iselamagazi kata...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Tanzaniana Algeria kuanzisha Kampuni za Ubia
• Ni ya ujenzi wa miundombinu ya kusambaza umeme •Kujenga mtambo wa kusindika gesi ya LPG, na kuuzwa kwenye mitungi. • Sekta ya madini pia yaguswa
Habari na picha na Asteria Muhozya Tanzania na Algeria zinakamilisha majadiliano ya kuanzisha kampuni ya Ubia itakayohusika na ujenzi wa miundombinu ya kusambaza umeme na Kampuni ya Ubia ya kujenga mtambo wa kusindika gesi ya “Liquefied Petroleum Gas” (LPG) na kuiuza gesi kwa wananchi kwa kutumia mitungi.
Makubaliano hayo yamefikiwa katika ziara...
Habari na picha na Asteria Muhozya Tanzania na Algeria zinakamilisha majadiliano ya kuanzisha kampuni ya Ubia itakayohusika na ujenzi wa miundombinu ya kusambaza umeme na Kampuni ya Ubia ya kujenga mtambo wa kusindika gesi ya “Liquefied Petroleum Gas” (LPG) na kuiuza gesi kwa wananchi kwa kutumia mitungi.
Makubaliano hayo yamefikiwa katika ziara...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania