makala ya sheria: UNAFAHAMU NINI KUHUSU MTAJI WA KAMPUNI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-SIEh7sOkwxE/VVVJfJjhn3I/AAAAAAAHXX8/ElKUhPidnV8/s72-c/download.jpg)
Huwezi kufikiria umiliki wa kampuni kabla ya kufikiria kuhusu mtaji wa kampuni. Mtaji wa kampuni ni suala nyeti kwa wenye wazo la kumiliki kampuni au wanaomiliki kampuni tayari. Mtaji ndio kila kitu katika kampuni. Tangu unapokuwa katika harakati za kusajili kampuni utalisikia neno hili mtaji karibia katika kila hatua unayopita. Niseme mapema kuwa mtaji mdogo ndio kampuni ndogo na mtaji mkubwa ndio kampuni kubwa. Kwa hili mitaji ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZtbHjK784ng/VVuWbBB9D_I/AAAAAAAHYVo/FNId1LvkyGE/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: USIYOJUA KUHUSU UKURUGENZI KATIKA KAMPUNI
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZtbHjK784ng/VVuWbBB9D_I/AAAAAAAHYVo/FNId1LvkyGE/s320/1.1774256.jpg)
Mara nyingi unapounda kampuni huwa ni lazima kueleza katika zile Memorandum kuhusu ukurugenzi na wakurugenzi. Huwezi kusajili kampuni ikiwa memorandum zako hazioneshi lolote kuhusu hilo.
Kimsingi nitaeleza machache japo yapo mengi kuhusu ukurugenzi na wakurugenzi katika kampuni. Kwa kampuni zetu ndogo ndogo za kijasiriamali mara zote wakurugenzi ndio hao hao wamiliki na ndio hao hao wana hisa. Niseme mapema tu kuwa...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Unafahamu nini kuhusu ujamzito?
NIMESEMA mara nyingi kuwa kama unataka kujifunza kuhusua ujauzito usiandikie mate wakati wino upo. Ukitaka kujifunza mambo ya ujauzito wasikilize na wafuatilie wajawazito. Kila mwezi nitaandika makala kuhusu mama mmoja...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cgpWfTY9q1c/VJfjbj8TE7I/AAAAAAAG4-4/tL6DQzeT-r4/s72-c/images.jpg)
makala mpya ya sheria: MILIKI KAMPUNI , JIFUNZE NAMNA YA KUUNDA KAMPUNI
![](http://2.bp.blogspot.com/-cgpWfTY9q1c/VJfjbj8TE7I/AAAAAAAG4-4/tL6DQzeT-r4/s1600/images.jpg)
Si rahisi kufanikiwa katika biashara bila kuifanya biashara yako katika mtindo wa kampuni.
Hata iwe ndogo ya kuuza mayai au kufuga kuku mafanikio zaidi ni pale...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bYSKMi_bzjY/VMXk9D9rHxI/AAAAAAAG_dg/rAORO3gzyQg/s72-c/images.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JE UMEFUNGUA/UNATAKA KUFUNGUA KAMPUNI, JIFUNZE KAMPUNI YAKO INAVYOTAKIWA KULIPA KODI KISHERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-bYSKMi_bzjY/VMXk9D9rHxI/AAAAAAAG_dg/rAORO3gzyQg/s1600/images.jpg)
Vijana wengi wajasiriamali wadogo wamefungua makampuni. Hakika wote waliofanya hivi wamefanya jambo jema linaloendana na wakati. Niliwahi kuandika wakati nikielekeza namna nyepesi kabisa ya kufungua kampuni kuwa, ni vigumu kwa leo kufanya biashara na ukawa na mafanikio nje ya kampuni. Nikasema hata kama unauza maziwa, mama ntilie, unauza mayai, kibanda cha huduma ya fedha kupitia simu,unauza mihogo, haizuiwi kufungua kampuni.
Kuna kampuni hata za mtaji...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SGVXPbPiFl0/VVkKE_vYzUI/AAAAAAAHX0M/kZ9HONr3Jtg/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: GHARAMA NDOGO KABISA YA KUSAJILI KAMPUNI HII HAPA
![](http://3.bp.blogspot.com/-SGVXPbPiFl0/VVkKE_vYzUI/AAAAAAAHX0M/kZ9HONr3Jtg/s320/1.1774256.jpg)
Zipo biashara ambazo watu wengi bado wanazifanya nje ya kampuni lakini ukweli ni kuwa biashara hizo kwa ulimwengu wa...
10 years ago
Michuzi29 Dec
MAKALA SHERIA: UNATAKA AU UMEFUNGUA KAMPUNI, JE WAJUA NAMNA YA KUNUNUA, KUUZA HISA
HISA NININI.Kwa maana ambayo inaweza kueleweka kwa wepesi zaidi ni kusema kuwa hisa ni aina ya maslahi ya mtu ya katika kampuni.Natumia neno aina kwakuwa maslahi katika kampuni ni mengi si hisa tu isipokuwa hisa ni mojawapo ya maslahi. Hivyo kile ambacho mtu anamiliki katika kampuni ndio hisa zake. Hisa hutofautiana kutokana na uwezo wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-iAAnDKnbiwo/VVLy5a1u9GI/AAAAAAAHW9Y/bE1dDhAq1NE/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: ALIPWA USD 90,000 KWA KUISHTAKI KAMPUNI YA SIMU, NA WEWE CHUKUA HATUA SASA
![](http://1.bp.blogspot.com/-iAAnDKnbiwo/VVLy5a1u9GI/AAAAAAAHW9Y/bE1dDhAq1NE/s320/1.1774256.jpg)
Makampuni ya simu kama Vodacon, Airtel, Tigo, Zantel, Sasatel, na mengineyo yamekuwa yakitenda makosa mbalimbali kwa wateja wao. Mara kwa mara wateja wa simu wamekuwa wakilalamikia matendo ya makampuni haya lakini wengi wao wamekuwa hawachukui hatua zaidi ya kulalamika. Ni watu wachache mno ambao wamekwishachukua hatua za kisheria dhidi ya makampuni haya licha ya uonevu mkubwa wa kihuduma wanaousababisha. Ukiangalia kwa...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-HCsPqyAzjik/VkxSMWPy_gI/AAAAAAAIGhA/RFAhzzYhya0/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: MAMBO YA MSINGI KISHERIA KUHUSU UMILIKI WA ARDHI WA PAMOJA
![](http://3.bp.blogspot.com/-HCsPqyAzjik/VkxSMWPy_gI/AAAAAAAIGhA/RFAhzzYhya0/s320/1.1774256.jpg)
Ardhi inaweza kumilikiwa na mtu zaidi ya mmoja. Inaweza kuwa nyumba au kiwanja. Vyote hivi vinaweza kumilikiwa na mtu zaidi ya mmoja. Kumiliki ardhi kwa zaidi ya mtu mmoja sio lazima iwe kwa wanandoa. Inaweza kuwa ndugu , marafiki , kikundi cha watu kama wafanyabiashara, wana saccos, kikundi cha michezo na aina yoyote ya kikundi cha kimaendeleo. Umiliki wa ardhi kwa pamoja unatofauti na umiliki binafsi yaani umiliki...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-p01x6L89i7k/VNx2DS9fmCI/AAAAAAAHDR8/WP4zQul50Gs/s72-c/images.jpeg)
MAKALA YA SHERIA: NINI UFANYE KISHERIA UNAPOHISI MWENZAKO KATIKA NDOA ANATAKA KUUZA NYUMBA/KIWANJA BILA RIDHAA YAKO
![](http://1.bp.blogspot.com/-p01x6L89i7k/VNx2DS9fmCI/AAAAAAAHDR8/WP4zQul50Gs/s1600/images.jpeg)
Upo wakati kwenye ndoa ambapo mmoja wanandoa anaweza akawa anataka kuuza au kubadili jina la nyumba/kiwanja bila ridhaa ya mwenzake ilihali nyumba hiyo ni ya familia. Lakini pia nje ya hilo kuna mazingira ambayo mtu anaweza kuwa si mwanandoa lakini ana maslahi katika nyumba au kiwanja cha mtu fulani na anataka kuzuia nyumba/ kiwanja hicho kisibadilishwe jina au kisiuzwe. Kisheria jambo hilo linaruhusiwa na huitwa zuio( Caveat).
Hili sio zuio la...