Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Unafahamu nini kuhusu ujamzito?

NIMESEMA mara nyingi kuwa kama unataka kujifunza kuhusua ujauzito usiandikie mate wakati wino upo. Ukitaka kujifunza mambo ya ujauzito wasikilize na wafuatilie wajawazito. Kila mwezi nitaandika makala kuhusu mama mmoja...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

makala ya sheria: UNAFAHAMU NINI KUHUSU MTAJI WA KAMPUNI.

Huwezi  kufikiria  umiliki  wa kampuni  kabla  ya kufikiria  kuhusu  mtaji  wa  kampuni. Mtaji  wa kampuni ni  suala  nyeti  kwa  wenye  wazo  la  kumiliki  kampuni  au  wanaomiliki  kampuni  tayari.  Mtaji  ndio  kila  kitu  katika  kampuni. Tangu  unapokuwa  katika  harakati  za  kusajili kampuni  utalisikia  neno  hili  mtaji  karibia katika  kila  hatua  unayopita. Niseme  mapema  kuwa  mtaji  mdogo  ndio  kampuni ndogo  na  mtaji  mkubwa  ndio  kampuni  kubwa.  Kwa  hili  mitaji ...

 

10 years ago

Mwananchi

Nini kimejificha kuhusu Muswada wa Sheria ya Habari?

Tunawaunga mkono wabunge waliojitokeza kupinga kuwasilishwa kwa hati ya dharura muswada wa Sheria ya Kupata Habari wa mwaka 2015.

 

9 years ago

BBCSwahili

Je,wajua nini kuhusu visiwa vya Comoro?

Moja kati ya visiwa vya Comoro vinavyokaribiana na pwani ya Msumbiji ni kile cha Anzwan, kuna wasiwasi unaongezeka kati yake na kisiwa jirani kilivyofanikiwa zaidi kimaisha, kisiwa cha Mayotte, ambacho ni koloni la Mfaransa hadi leo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Wataalamu wanasema nini kuhusu wenye matatizo ya kiafya?

Virusi vya corona vinaweza kumuathiri yeyote,lakini watu wenye matatizo ya kiafya na wazee wanadhaniwa kuwa katika hatari ya kuathirika zaidi na dalili zake.

 

10 years ago

Bongo Movies

Maoni:Unamshauri Nini Aunt Ezekiel Kuhusu Ugomvi na Wema?

Kwa kuangalia historia ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel ni zaidi ya marafiki ambao walikuwa maswahiba walioshibana kiasi kwamba hakuna mtu anaeweza kujua kama leo watakuwa maadui. Na urafiki huu ulikomaa zaidi pale Madame Wema alipokuwa amerudiana na Diamond Platinumz kiasi kwamba hata safari za nje za Wema na Diamond na Aunt nae alikuwa anasafiri na hatukujua alikuwa anasafiri kwa gharama ya nani.

Kwa ukaribu huu wa Wema na Diamond kulimfanya Dogo wetu Moses Iyobo kupata bahati ya mtende...

 

9 years ago

Vijimambo

TUJIFUNZE NINI TOKA MAJIRANI ZETU KUHUSU FAIDA YA KUTANGAZA NCHI?

Habari na picha za Freddy Macha Fahari ya Kenya. Maonesho ya uzuri na urembo Tamasha la “Kenya in the Park”- Jumamosi iliyopita, tarehe 29 Agosti 2015, lilifana sana. Tamasha kama hili limewahi pia kufanywa mara nyingi na Ghana. Faida yake nini? 1. Kutangaza nchi. Kuendeleza wajasiriamali, elimu, wasanii, nk 2. Kukutanisha wananchi. Kuwaunganisha. Urafiki. Uzalendo. Kujuana. NETWORKING, kwa Kimombo. 3. Wageni huwajua na kutaka kuwatembelea. Utalii, kuwekeza na kuunga mkono miradi mbalimbali....

 

5 years ago

BBCSwahili

Kwa nini Trump na Obama wameanza malumbano mapya kuhusu Flynn?

Uamuzi wa kishangaza wa Idara ya haki nchini Marekani kuondoa mashtaka yote dhidi ya alikyekuwa mshauri wa kiusalama wa rais Donald Trump , umezua shutumma chungu nzima.

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd: Tunafahamu nini kuhusu maafisa 4 wa polisi waliohusika?

Wako wapi maafisa wengine watatu waliokuwepo wakati wa kukamatwa kwa George Floyd na kushuhudia Derek Chauvin akimzuilia chini kwa kutumia goti lake?

 

9 years ago

Bongo5

Fabregas hajui nini tatizo katika klabu yake Chelsea kuhusu matokeo mabaya

Fabregas

Kiungo Cesc Fabregas wa Chelsea na timu ya taifa ya Hispania ameelezea hasira kutokana na matokeo duni ya klabu ya Chelsea msimu huu kwao umekua mbaya sana na kwamba hajui nini kinaenda vibaya katika kikosi hicho cha kocha Jose Mourinho.

Fabregas

Akiongea kwa uchungu sana na Gazeti la kihispania Marca., Cesc ameonesha kukasirishwa sana na jinsi msimu unavyoenda huku akisema matokeo hayawatendei haki kwani wanacheza vizuri kuliko matokeo wanayopata uwanjani.

”Kwa hakika sifahamu ninikimetusibu msimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani