Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa nini Trump na Obama wameanza malumbano mapya kuhusu Flynn?

Uamuzi wa kishangaza wa Idara ya haki nchini Marekani kuondoa mashtaka yote dhidi ya alikyekuwa mshauri wa kiusalama wa rais Donald Trump , umezua shutumma chungu nzima.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Je,Trump yuko mashakani kwa msimamo wake kuhusu ubaguzi wa rangi?

Je changamoto hizi za maandamano dhidi ya ubaguzi zina uwezekano wa kumfanya Trump kuwa na nafasi ndogo kuchaguliwa tena?

 

10 years ago

GPL

MALUMBANO YAZUKA KUHUSU MAZISHI YA KRISTINA BROWN AKIWA MAHUTUTI

Bobbi Kristina. WAKATI binti wa mwanamuziki Bobby Brown aitwaye Bobbi Kristina akiwa 'ananusa' kifo, familia yake inajadili mipango ya mazishi yake, ambapo upande wa baba yake unajizatiti kupambana kutokana na vitendo ilivyofanyiwa wakati Whitney Houston (mama yake Bobbi) alipofariki. Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ, familia ya Brown haitaki tena hali hiyo itokee ambapo Brown aliondoka katika mazishi hayo baada ya waangalizi wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Rais Trump awalenga mayaya na wanafunzi katika masharti mapya ya visa Marekani

Wafanyikazi wenye ujuzi mkubwa wa kiufundi, wafanyikazi wasio katika sekta ya kilimo na maafisa wakuu wa makampuni wataathirika.

 

10 years ago

Vijimambo

Donald Trump: I really don't know where Obama was born


"Honestly, I don't want to get into it," Trump said. "I'm about jobs, I'm about the military, I'm about doing the right thing for this country."But to be clear, Trump is still not totally convinced that Obama was born in the country."I don't know. I really don't know," he said. "I don't know why he wouldn't release his records.""Or why, when he released those records, I started asking for different records," he did not continue. "Or why none of the same records that other candidates might...

 

5 years ago

CCM Blog

OBAMA AMKOSOA TRUMP VITA DHIDI YA CORONA

rais wa zamani Barrack ObamaImage captionrais wa zamani Barrack ObamaRais wa zamani wa Marekani Barack Obam amemkosoa vikali Rais Donald Trump kwa namna anavyoshughulikia janga la corona.Kauli yake ameitoa alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wake wa zamani kuungana na timu ya kampeni ya uchaguzi ya Joe Biden, televisheni ya CNN imeelezaIkulu ya Marekani imejibu kuwa hatua ya Rais "isiyo ya kawaida" ilikuwa "imeokoa maisha ya Wamarekani".Marekani yaidhinisha dawa ya Ebola kutibu CoronaMarekani yahofia mlipuko mpya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virus vya corona: Trump asema 'wamefikia kilele cha maambukizi’ mapya Marekani

"Tutarejelea hali ya kawaida wanangu, tena sisi sote,"rais Trump akitabiri kuwa inawezekana majimbo mengine yakafunguliwa mwezi huu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Obama asema uongozi wa Trump umefeli kukabiliana na ugonjwa huo

Aliyekuwa rais wa Marekani Barrack Obama kwa mara nyingine tena amemkosoa mrithi wake Donald Trump anavyoshughulikia janga la virusi vya corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Obama asema hatua zilizochukuliwa na Trump ni kama 'janga la machafuko'

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obam amemkosoa vikali Rais Donald Trump kwa namna anavyoshughulikia janga la corona.

 

9 years ago

BBCSwahili

Trump atumia wito kuhusu Waislamu tangazoni

Donald Trump ametumia wito wake wa kutaka Waislamu wazuiwe kuingia Marekani kwa muda kwenye tangazo lake la kwanza la kampeni runingani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani