Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MALUMBANO YAZUKA KUHUSU MAZISHI YA KRISTINA BROWN AKIWA MAHUTUTI

Bobbi Kristina. WAKATI binti wa mwanamuziki Bobby Brown aitwaye Bobbi Kristina akiwa 'ananusa' kifo, familia yake inajadili mipango ya mazishi yake, ambapo upande wa baba yake unajizatiti kupambana kutokana na vitendo ilivyofanyiwa wakati Whitney Houston (mama yake Bobbi) alipofariki. Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ, familia ya Brown haitaki tena hali hiyo itokee ambapo Brown aliondoka katika mazishi hayo baada ya waangalizi wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mtoto wa Whitney Houston, Bobbi Kristina bado yupo mahututi, ni baada ya kukutwa bafuni hapumui

Mtoto wa kike wa marehemu, Whitney Houston, Bobbi Kristina yupo mahututi na ubongo wake umedaiwa kushindwa kufanya kazi. Madaktari wamedai kuwa hiyo si dalili nzuri. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 21 alikutwa bafuni kwenye ‘bathtub’ uso wake ukiwa kwenye maji Jumamosi iliyopita na alikuwa hapumui. Alizinduka na kupelekwa hospitali ambako amelazwa kwenye wodi ya […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Bobbi Kristina Brown Dies at 22

GTY_bobbi_kristina_brown_4_jt_150131_4x3_992

Bobbi Kristina Brown, the daughter of late music legend Whitney Houston and R&B singer Bobby Brown, died on July 26, surrounded by her family, at Peachtree Christian Hospice in Duluth, Georgia. She was 22.

“She is finally at peace in the arms of God,” the Houston family said in statement to ET. “We want to again thank everyone for their tremendous amount of love and support during these last few months.”

On Jan. 31, Bobbi Kristina was found unresponsive in her bathtub, and was then taken...

 

10 years ago

Mtanzania

Bobby Brown achoshwa na hali ya Kristina

bobby-brown-bobbi-kristinaNA BADI MCHOMOLO
BAADA ya Kristina Brown kukaa hospitali kwa muda wa siku 73 tangu aanguke bafuni Januari 31 mwaka huu, baba yake, Bobby Brown, ameonekana kukata tamaa ya kupona kwa binti yake huyo.
Kristina bado anaishi kwa kutegemea nguvu ya mashine, lakini hata hivyo hali yake haileti matumaini tangu alipopelekwa hospitalini.
“Mpaka sasa hatujui nini kitatokea kwa mtoto wetu, tumemkabidhi Mungu kila kitu kwa kuwa yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho katika kila jambo.”
Mbali na Bobby Brown...

 

9 years ago

Mtanzania

Kifo cha Kristina Brown, chanzo chajulikana

KristinaATLANTA, MAREKANI

BAADA ya kifo cha mtoto wa aliyekuwa nyota wa muziki nchini Marekani, Whitney Houston, Kristina Brown, kutokea mapema Julai mwaka huu, shirika la uchunguzi wa kifo hicho, The Fulton County Medical Examiner limesema limepata majibu ya kifo hicho.

Hata hivyo, shirika hilo limesema kuwa haliwezi kuweka wazi chanzo cha kifo hicho kwa ajili ya usalama.

Awali kulikuwa na taarifa kwamba chanzo cha kifo hicho kilitokana na kuwekewa sumu kwenye kinywaji chake huku akishutumiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive gossip: Bobby Brown Says Bobbi Kristina ‘Is Awake’

720x405-153963570

Bobbi

“I can say today, Bobbi is awake. She’s watching me,” he told a shocked crowd at the Verizon Theater in Dallas, Texas, on Saturday. A video of his statement was posted to Instagram.

The video was captioned, “Theirs [sic] been terrible rumors circulating for months … @kingbobbybrown would like to share a message with you all … From our family to yours … Thank you for all the well wishes and prayers for his daughter #BK …. But let it be known that #GOD holds the glory …. continue to...

 

10 years ago

Vijimambo

MADAKATARI WAMWAMBIA BOBBY BROWN AACHE BOBBI KRISTINA APUMZIKE KWA AMANI

Bobby Brown akiwa nje ya hospitali ya chuo kikuu cha Emory siku ya Alhamisi Feb 5, 2015 kwenye siku yake ya kuzaliwa akipokua ametoka kwa ajili ya kuvuta sigara.Bobby Brown akiongozana na familia ya Houston alipokua akiwasili hospitali mapema leo Alhamisi kumjulia hali mwanae Bobbi Kristina ambaye yupo kwenye koma. Familia ya Houston imekuwanae sambamba tangia siku ya kwanza ya maswahibu ya mtoto Bobbi Kristina.bobby-brown-sad-birthday-at-the-hospitalBobby Brown akiongozana na Gary Houston ambaye ni mpwa wake Whitney...

 

10 years ago

Vijimambo

MAZUNGUMUZO YA HASIRA YATAWALA MAANDALIZI YA MAZISHI YA BOBBI KRISTINA

Bobbi Kristina alipokimbizwa hospitali wakati akiwa na miaka 18 baada ya kuchanganya vilezi muda mchache baada ya kifo cha mama yake kutokea.Cissy Houston Bibi ya Bobbi Kristina Brown akiwasili hospitali ya Emory siku ya Ijumaa Februari 6, 2015 kumjulia hali mjukuu wake Cissy Houston ni mama mzazi wa Whitney Houston.
Bobbi Kristina akiwa bado kwenye koma huku wanafamilia wakizungumuza mipango ya mazishi kama lolote litatokea. Familia ya Bobby Brown wamesema safari hii hawatakubali familia ya...

 

10 years ago

Bongo5

Madaktari wamuomba Bobby Brown awaruhusu wazime mashine inayomsaidia Bobbi Kristina kupumua sababu hakuna matumaini

Madaktari wa hospitali alipolazwa aliyekuwa mtoto wa mwanamuziki wa nchini Marekani,marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina hawana tena matumaini ya kuokoa maisha ya binti huyo. Madaktari hao wamemuomba baba yake Bobby Brown kutoa ruhusa ya kuzima mashine inayomsaidia kupumua ikiwa na maana kwamba kukubali matokeo ya kuwa hawezi kupona,TMZ imeripoti. Vyanzo vya familia hiyo vimeiambia TMZ […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Hofu yazuka kuhusu hali ya wakimbizi Thai

Hofu inazidi kuibuka kuhusua maisha ya wahamiaji 350 wa Asia, wakiwemo zaidi ya watoto themanini, ambao wamekwama baharini Thailand

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani