MAKALA YA SHERIA: GHARAMA NDOGO KABISA YA KUSAJILI KAMPUNI HII HAPA
![](http://3.bp.blogspot.com/-SGVXPbPiFl0/VVkKE_vYzUI/AAAAAAAHX0M/kZ9HONr3Jtg/s72-c/1.1774256.jpg)
Na Bashir Yakub.Kutokana na maendeleo ya biashara duniani kote imekuwa ni vigumu sasa kufanya biashara nje ya kampuni. Hii ni kwasababu kila kampuni au taasisi utakayotaka kufanya nayo biashara iwe kununua kwao au kuuza kwao basi kitu cha kwanza watakachokwambia ni kuwa hatufanyi biashara na watu binafsi.
Zipo biashara ambazo watu wengi bado wanazifanya nje ya kampuni lakini ukweli ni kuwa biashara hizo kwa ulimwengu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cgpWfTY9q1c/VJfjbj8TE7I/AAAAAAAG4-4/tL6DQzeT-r4/s72-c/images.jpg)
makala mpya ya sheria: MILIKI KAMPUNI , JIFUNZE NAMNA YA KUUNDA KAMPUNI
![](http://2.bp.blogspot.com/-cgpWfTY9q1c/VJfjbj8TE7I/AAAAAAAG4-4/tL6DQzeT-r4/s1600/images.jpg)
Si rahisi kufanikiwa katika biashara bila kuifanya biashara yako katika mtindo wa kampuni.
Hata iwe ndogo ya kuuza mayai au kufuga kuku mafanikio zaidi ni pale...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bYSKMi_bzjY/VMXk9D9rHxI/AAAAAAAG_dg/rAORO3gzyQg/s72-c/images.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JE UMEFUNGUA/UNATAKA KUFUNGUA KAMPUNI, JIFUNZE KAMPUNI YAKO INAVYOTAKIWA KULIPA KODI KISHERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-bYSKMi_bzjY/VMXk9D9rHxI/AAAAAAAG_dg/rAORO3gzyQg/s1600/images.jpg)
Vijana wengi wajasiriamali wadogo wamefungua makampuni. Hakika wote waliofanya hivi wamefanya jambo jema linaloendana na wakati. Niliwahi kuandika wakati nikielekeza namna nyepesi kabisa ya kufungua kampuni kuwa, ni vigumu kwa leo kufanya biashara na ukawa na mafanikio nje ya kampuni. Nikasema hata kama unauza maziwa, mama ntilie, unauza mayai, kibanda cha huduma ya fedha kupitia simu,unauza mihogo, haizuiwi kufungua kampuni.
Kuna kampuni hata za mtaji...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3rYO1fT7-a8/VMapyZS60II/AAAAAAAG_o0/ZnWy8X5VYn0/s72-c/12.jpg)
MAKALA SHERIA: HAITOSHI KUUNDA KAMPUNI, LAZIMA UWE NA LESENI YA BIASHARA, HII NI NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA
![](http://4.bp.blogspot.com/-3rYO1fT7-a8/VMapyZS60II/AAAAAAAG_o0/ZnWy8X5VYn0/s1600/12.jpg)
Katika makala iliyopita nilisema kuwa vijana wengi wajasiriamali wanaofungua biashara za makampuni wanao uwezo mkubwa wa kufika mbali isipokuwa tatizo lao ni taarifa za mambo mbalimbali kuhusu uendeshaji wa kampuni hizo.
Mambo ya uendeshaji wa kampuni ni mepesi sana na yanawezwa na mtu yeyote isiopokuwa tatizo ni taarifa na elimu ya namna ya uendeshaji kisheria ili kampuni ionekane ni kampuni. Nilieleza...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZtbHjK784ng/VVuWbBB9D_I/AAAAAAAHYVo/FNId1LvkyGE/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: USIYOJUA KUHUSU UKURUGENZI KATIKA KAMPUNI
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZtbHjK784ng/VVuWbBB9D_I/AAAAAAAHYVo/FNId1LvkyGE/s320/1.1774256.jpg)
Mara nyingi unapounda kampuni huwa ni lazima kueleza katika zile Memorandum kuhusu ukurugenzi na wakurugenzi. Huwezi kusajili kampuni ikiwa memorandum zako hazioneshi lolote kuhusu hilo.
Kimsingi nitaeleza machache japo yapo mengi kuhusu ukurugenzi na wakurugenzi katika kampuni. Kwa kampuni zetu ndogo ndogo za kijasiriamali mara zote wakurugenzi ndio hao hao wamiliki na ndio hao hao wana hisa. Niseme mapema tu kuwa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SIEh7sOkwxE/VVVJfJjhn3I/AAAAAAAHXX8/ElKUhPidnV8/s72-c/download.jpg)
makala ya sheria: UNAFAHAMU NINI KUHUSU MTAJI WA KAMPUNI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-SIEh7sOkwxE/VVVJfJjhn3I/AAAAAAAHXX8/ElKUhPidnV8/s640/download.jpg)
10 years ago
Michuzi29 Dec
MAKALA SHERIA: UNATAKA AU UMEFUNGUA KAMPUNI, JE WAJUA NAMNA YA KUNUNUA, KUUZA HISA
HISA NININI.Kwa maana ambayo inaweza kueleweka kwa wepesi zaidi ni kusema kuwa hisa ni aina ya maslahi ya mtu ya katika kampuni.Natumia neno aina kwakuwa maslahi katika kampuni ni mengi si hisa tu isipokuwa hisa ni mojawapo ya maslahi. Hivyo kile ambacho mtu anamiliki katika kampuni ndio hisa zake. Hisa hutofautiana kutokana na uwezo wa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-T2SCZuk-SIk/VPaqCnt59vI/AAAAAAAHHbc/qB6dz_mZacI/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JE UMENYANYASWA NA MWAJIRI, HII NI NAMNA YA KUMFUNGULIA MASHTAKA
![](http://2.bp.blogspot.com/-T2SCZuk-SIk/VPaqCnt59vI/AAAAAAAHHbc/qB6dz_mZacI/s1600/law_5.jpg)
Makuzi ya biashara hasa biashara za kimataifa yameleteza utitiri wa makampuni. Karibia kila biashara kubwa au ya kati kwa sasa hufanywa na makampuni. Baadhi ya ndani na mengine ya nje.
Hatua hii njema kwa kiasi fulani imeongeza ajira japo ajira zenyewe hazina vigezo vya kuitwa ajira. Yatosha ziitwe kazi tu. Ajira hizi ambazo nyingi ni za umanamba zimekuwa zikifanywa na wazawa. Upande mmoja zimekuwa neema na upande mwingine zimekuwa laana.
Ni neema kwakuwa baadhi...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mqQox6HlTOY/VUkyzsUGfPI/AAAAAAAHVnE/LkL4u3nKq-U/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: UNANUNUAJE NYUMBA/KIWANJA BILA KUJIRIDHISHA NA HATUA HII?
![](http://3.bp.blogspot.com/-mqQox6HlTOY/VUkyzsUGfPI/AAAAAAAHVnE/LkL4u3nKq-U/s320/law_5.jpg)
Nimewahi kueleza namna au vitu vya msingi ambavyo hutakiwa kuwa katika mkataba wa ununuzi wa nyumba au kiwanja. Nikaeleza umuhimu wa kila kimoja na nikasisitiza kuwa...