MTITU: RAIS KIKWETE ALINIFANYA NIANZISHE KAMPUNI YA KUSAMBAZA FILAMU
![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnWwP33g*IbXKkK5dW2o7Ka3E3jUpkyjtPljLwhatfAA4BSFs8uVsVCshCL*IyhJe1vkf4LaXAmaP2rVh29Al1it/mtitu.jpg)
Makala: Elvan Stambuli WILLIAM Mtitu ni mdau mkubwa wa filamu hapa nchini anayefahamika na wapenzi wengi wa tasnia hiyo. Yeye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya 5 Effects Movies Ltd inayojihusisha na usambazaji wa filamu nchini, muigizaji na muongozaji pia. Amepata mafaniko katika kazi hizo. Mkurugenzi wa Kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, William Mtitu ndani ya… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA PROIN PROMOTIONS LIMITED YASAINI MKATABA NA MZEE YUSUPH KWAAJILI YA KUSAMBAZA FILAMU YAKE IITWAYO "NITADUMU NAE"
10 years ago
Bongo Movies24 Dec
Bei Mpya za Filamu:Mtitu Aendelea Kuwaponda Baadi ya Wasanii wa Filamu
Mtengenezaji wa filamu mkongwe hapa nchini, William Mtitu ameendela kuwaponda baadhi ya wasanii ambao wanafanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment kwa kukubali kushisha bei ya kazi zao kutoka shilingi 3000/= hadi shilingi 1,500 /= kwa CD moja kwa rejareja.
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Mtitu aliweka picha hiyo hapo juu na kuandika maneno haya;
"Wakati tukiangaika maporini kushuti sinema zenye ubora wasanii wenzetu sijui tuite upumbavu au kutojielewa wanajifungia ndani na wàhindi...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
10 years ago
Michuzi29 Jun
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Mtitu awashukuru wadau wa filamu
MKURUGENZI wa kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, William Mtitu, amewashukuru wadau wa filamu kutokana na kitendo chao cha kuwa beba kwa beka katika msiba wa baba yake mzazi, Mzee...
11 years ago
MichuziRais kikwete akutana na Makamu wa Rais wa China pamoja na Mmiliki wa kampuni ya Dangote
11 years ago
Dewji Blog30 Jun
Rais Kikwete akutana na Makamu wa Rais wa kampuni ya Viettel Group Ikulu Dar
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel Group ya nchini Vietnam Bwana Le Dang Dung ikulu jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro).
Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Juni 30, 2014, amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka kampuni ya simu ya Viettel kutoka Vietnam ukiongozwa na Bwana Le Dang Dung ambaye ni Makamu wa Rais wa Kundi la makampuni ya Viettel...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-opK39gMHe98/UvTXKm6YruI/AAAAAAAFLl4/ddike4NRDho/s72-c/unnamed+(60).jpg)
Rais Kikwete akutana na Rais wa Kampuni ya TBEA ya China,pia afanya mazungumzo na Lord Mandelson
![](http://2.bp.blogspot.com/-opK39gMHe98/UvTXKm6YruI/AAAAAAAFLl4/ddike4NRDho/s1600/unnamed+(60).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-U8dJSU1-nY0/UvTXKxUEPyI/AAAAAAAFLl8/hhntsNi5e4Q/s1600/unnamed+(61).jpg)