NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-10
![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d7P28OdIsnU8VPAY3Ou2ln0yDMGJY-5xKclgGQhltQN4IJDeRgI9uQwtCl27-4MCu01vlrKunK64F7wkwj7cvJ9/seedmoney.jpg?width=650)
Wiki iliyopita niliishia kuelezea jinsi nilivyokuwa na uwezo wa kuwasiliana vizuri na mtu mmojammoja au kikundi cha watu kwenye mikutano kwa lugha zote mbili, Kiswahili na Kiingereza bila hofu wala kubabaika. Sasa endelea....... Watu wakaanza kuniuliza niliwezaje kufanya hivyo, hiyo ikanipa msukumo kuanzisha biashara yangu ya kwanza kabisa ya kituo cha kuwafundisha watu wazima Lugha ya Kiingereza (English courses). Kwa kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6ZbmUuRiogWlql36YJS9hbkXVNuMd4JopfI5pEoTvwOSCEfQy2RACiQzwZml7kRWk0mpGPaIsBosdNxxVmQbqM4/money.jpg)
NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-5
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39fDbPwrY2UuouF-4am*vtP2VQ6wfyVYW6tJGIIPIobItWCUZ-5btwe1NgCqK3IIYbLRgQXruwpoXS2YwrNxg6vL/PicMonkeyCollage.jpg?width=650)
NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-7
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JeioNtmyO2Z4X4nsaqK2WWKPUQu6DWYe6hXUv-BGN1-dIJWkaJXhh9FIUiA6XUQPYHyDoJ8G0msPTcI3EOlv4neaM2tS7R90/JAMES.jpg)
10 years ago
Mwananchi18 Jun
Jinsi ya kuanzisha biashara bila mtaji
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Mtitu: Mtaji wa Sh145,000 uliwezesha kuanzisha kampuni
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-w4y6r-QHQLA/VakcmvBf6wI/AAAAAAAHqRY/lh9H4A9HwvM/s72-c/unnamed%2B%252813%2529.jpg)
Chato, Biharamulo kupata umeme wa uhakika kuanzia Jumapili
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ET9cLUGnYg0/XlbMR-ZhGiI/AAAAAAALfoM/aa6W8SSfZe4hRrS4ys8gJ0RnnkEmiy2twCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200217-WA0023-1-1024x768.jpg)
CHAURU YATARAJIA KUPATA SOKO LA UHAKIKA MSIMU HUU MPYA-CHACHA
![](https://1.bp.blogspot.com/-ET9cLUGnYg0/XlbMR-ZhGiI/AAAAAAALfoM/aa6W8SSfZe4hRrS4ys8gJ0RnnkEmiy2twCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200217-WA0023-1-1024x768.jpg)
NA MWAMVUA MWINYI, PWANI
CHAMA Cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Mpunga Ruvu (CHAURU) ,uliopo Ruvu ,Chalinze mkoani Pwani ,kinatarajia kuondokana na kilio cha ukosefu wa soko la uhakika la mchele ,katika msimu wa mavuno 2020/2021 baada ya kupatikana mnunuzi kutoka nchini Uholanzi.
Aidha ushirika huo ,unalenga kuzalisha na kuinua mavuno kwa wakulima wake kutoka tani 4,700 walizopata msimu uliopita na kufikia tani 5,500 kwa mwaka huu.
Akielezea malengo ya msimu mpya wa kilimo cha...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-iWV6MCJ-zsU/VJf0nmYd82I/AAAAAAAG5AE/mYvsZhM5HEc/s72-c/2.jpg)
Airtel yawapatia kundi la walemavu mtaji na mafunzo ya biashara
![](http://1.bp.blogspot.com/-iWV6MCJ-zsU/VJf0nmYd82I/AAAAAAAG5AE/mYvsZhM5HEc/s1600/2.jpg)
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Maridhiano muhimu kupata Katiba Mpya, nchi bora, imara na yenye ustawi wa uhakika