Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Airtel yawapatia kundi la walemavu mtaji na mafunzo ya biashara

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akikata utepe kama ishara ya kukabidhi vibanda vya kisasa vya Airtel Money kwa watu wenye ulemavu, wanachama wa Taasisi ya Haki za Binadamu na Maendeleo Watu wenye Ulemavu (HREDP), kwa ajili kuwawezesha kuwa wafanyabiashara wajasiriamari, katika hafla iliyofanyika kwenye Shule ya Msingi Buguruni Viziwi jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya na (kulia) ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel yawapatia mafunzo wafanyakazi wa afya

WAFANYAKAZI wa afya wa Kijiji cha Mbola, mkoani Tabora, wameishukuru Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kutokana na teknolojia ya huduma ya mawasiliano inayowawezesha kutoa huduma za afya...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YATOA MSAADA KWA KUNDI LA WALEMAVU‏

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba  akikata utepe kama ishara ya kukabidhi vibanda vya kisasa vya Airtel Money kwa watu wenye ulemavu, wanachama wa Taasisi ya Haki za Binadamu na Maendeleo Watu wenye Ulemavu (HREDP), kwa ajili kuwawezesha kuwa wafanyabiashara wajasiriamari, katika hafla iliyofanyika kwenye Shule ya Msingi Buguruni Viziwi jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL DIVAS YATEMBELEA KIKUNDI CHA SAUTI YA WALEMAVU KATIKA MAONYESHO YA BIASHARA YA SABASABA

Afisa Mauzo wa Airtel , Rachael Mboya,akiangalia kazi ya kikundi cha ulemavu ikiwemo kushona na uwezo wa kusoma vitabu mbalimbali vilivyopo katika banda lao wakati wanawake wa Airtel Divas walipotembelea banda lao katika maoenyesho ya sabasaba.
Baadhi ya wafanyakazi wa Airtel wakiwa katika picha ya pamoja na kikundi SWAUTA katika banda lao kwenye maonyesho ya Sabasaba, ambapo Airtel Divas… ...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel Divas yatembelea kikundi cha Sauti ya walemavu kwenye Maonyesho ya Biashara ya Sabasaba

Wanachama wa Kikundi cha Wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Divas’, Meneja wa Huduma kwa Jamii, Hawa Bayumi (kushoto), Afisa Uhusiano, Jane Matinde (wa pili kushoto), na Afisa mauzo, Rachael Mboya (kulia), wakichagua bidhaa zilizotengenezwa na Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA) cha Kinondoni, walipotembelea Banda la Swauta, lililopo katika Uwanja wa Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam jana. Airtel...

 

10 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kuanzisha biashara bila mtaji

Wengi huamini kuwa lazima uwe na fedha ndiyo uanzishe biashara na ndiyo sababu yao kuu ya kukaa bila kujishughulisha. Ukweli ni kwamba mtaji ni moja ya kitu muhimu katika kuanzisha biashara, lakini kuna aina ya biashara ambazo zinahitaji gharama ndogo kuanzisha na kukupelekea kupata faida kubwa.

 

11 years ago

GPL

NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-5

UZA RASILIMALI ZAKO UPATE KIANZIO
Kuna watu wengi sana wanasema kuwa hawana mtaji leo hii wakati wamekalia utajiri majumbani mwao.
Hii inatokea kwa kuwa mjasiriamali husika hajaambiwa au yeye mwenyewe hajakaa chini na kufikiri kwa makini. Ukweli ni kwamba kazi ya kufikiria ndiyo kazi ngumu kuliko zote duniani! Mwandishi wa Hadithi ya ‘Acres of Diamond’ (Ekari za Almasi), Russell H. Conwell, ambaye alizunguka...

 

11 years ago

GPL

NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-10

Wiki iliyopita niliishia kuelezea jinsi nilivyokuwa na uwezo wa kuwasiliana vizuri na mtu mmojammoja  au kikundi cha watu kwenye mikutano kwa lugha zote mbili, Kiswahili na Kiingereza bila hofu wala kubabaika. Sasa endelea....... Watu wakaanza kuniuliza niliwezaje kufanya hivyo, hiyo ikanipa msukumo kuanzisha biashara yangu ya kwanza kabisa ya kituo cha kuwafundisha watu wazima Lugha ya Kiingereza (English courses).
Kwa kuwa...

 

11 years ago

GPL

NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-7

Tunaendelea na mada yetu ya kujadili njia za uhakika za kupata mtaji wa kuanzisha biashara. Tumeshajadili mbinu tatu: Kuweka akiba, kutafuta kipato cha ziada na kuuza rasilimali zako ili upate kianzio. Leo tunaendelea na njia ya nne. OMBA MSAADA KWA NDUGU, JAMAA AU MARAFIKI
Wakati mwingine, njia pekee ya kuweza kutoka maishani ni kwa kupitia mtandao wa watu wanaokuzunguka. Ndiyo maana kuna usemi maarufu katika lugha ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani