KIKUNDI CHA UPENDO WOMEN'S GROUP KILICHOPO BRUSSEL UBELGIJI CHACHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA HOSPITALI YA MWANANYAMALA
![](http://3.bp.blogspot.com/-DqpgUlC32D0/U3hd82fHFzI/AAAAAAAFjYY/VtCe7JjT1J0/s72-c/unnamed+(9).jpg)
Balozi wa Tanzania nchini ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akisoma hotuba yake katika ghafla ya uchangishaji wa fedha kwa ajili ya kina mama na watoto waliopo katika wakati mgumu hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam Tanzania,Kushoto kwa balozi ni Balozi wa Kenya nchi Belgium Mh:Johson Uweru na pembeni wa balozi wa Kenya ni mwakilishi kutoka Madagasca mh: Norbet Richard Ibrahim,kulia kwa balozi Dr. Kamala ni balozi wa Burundi Dr.Felix.
Wana Upendo Group wakiingia ukumbini katika...
Michuzi