TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA MABENKI YA AKIBA DUNIANI (WSBI) KANDA YA AFRIKA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu mkutano wa mabenki ya Akiba Duniani (WSBI) Kanda ya Afrika utakaofanyika kuanzia kesho jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Sheria wa benki hiyo, Mystika Ngongi.Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboUJUMBE WA MAOFISA WA UMOJA WA BENKI ZA AKIBA DUNIANI KANDA YA AFRIKA WATEMBELEA ZANZIBAR
10 years ago
Dewji Blog31 May
Ujumbe wa Maofisa wa Umoja wa Benki za Akiba Duniani Kanda ya Afrika wakitembelea Zanzibar
Meneja wa Tawi la Benki ya Posta Zanzibar Ndg Justin S.Nandonde akisalimiana na kumkaribisha wageni wake walipotembelea Tawi hilo Zanzibar kujionea utendaji wa Benki ya Posta Tawi la Zanzibar wakiwa katika ziara yao Zenj.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndg. Sabasaba Moshingi, akitowa maelezo ya Ujumbe wa Maofisa wa Benki wa Umija wa Mabenki Duniani Kanda ya Afrika, walipotembelea Benki ya Posta tawi la Zanzibar.
Wajumbe wa Mkutano wa Wanachama wa Umoja wa Mabenki...
10 years ago
MichuziTANZANIA YAWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA NNE WA MASWALA YA USALAMA MITANDAO DUNIANI
11 years ago
MichuziTANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA NISHATI KWA NCHI ZA AFRIKA
10 years ago
Dewji Blog23 Mar
Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa wawekezaji wa nchi 5 za Afrika Mashariki
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akitoa taarifa ya mkutano wa wawekezaji (Round Table Investment Forum) na wakuu wa nchi 5 za ukanda wa Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia Machi 25 hadi 26 mwaka huu.
Na Aron Msigwa –MAELEZO
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa wawekezaji (Round Table Investment Forum) na Marais wa nchi 5 za ukanda wa Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia Machi 25 hadi 26 mwaka huu.
Akitoa taarifa ya mkutano huo Mkuu...
10 years ago
Vijimambo27 Apr
TANZANIA YAWA MWENYEJI WA MKUTANO WA KWANZA WA WAKUU WA VYUO VYA KODI AFRIKA
10 years ago
MichuziUBALOZI WA TANZANIA, OTTAWA - MWENYEJI WA MKUTANO WA UMOJA WA WENZA WA MABALOZI WA AFRIKA, CANADA
Akiuwakilisha Ubalozi wetu, mwenyeji wa mkutano huo ambaye pia ni Mtunza Hazina wa Umoja huo, Mke wa Balozi wa Tanzania, Mama Esther Zoka alitumia fursa ya mkutano huo, kuvinadi vivutio vya utalii vya Tanzania, ambavyo ni pamoja na Ngororo Crater ambayo iko katika orodha ya maajabu makuu ya ulimwengu inayoratibiwa na UNESCO, Mlima Kilimanjaro ambao ni mlima mrefu...
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA WAWEKEZAJI NA MARAIS WA NCHI 5 ZA AFRIKA MASHARIKI.
10 years ago
MichuziTANZANIA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA KWANZA WA UMOJA WA VYUO VYA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA (AATO)