WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA NA KUBOMOA NYUMBA YA MGOMBEA UBUNGE CUF MTWARA.
Kundi la watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wamevamia na kuibomoa nyumba ya mgombea ubunge wa chama cha wananchi CUF jimbo jipya la nanyamba wilaya ya mtwara vijijini, twahiri saidi baada ya kushindwa kurudisha fomu ya ubunge na kutokomea kusiko julikana huku simu zake za mkononi zikiwa hazipatikani.
Wakizungumza kwa masikitiko baadhi ya viongozi wa chama hicho na wanachi wa jimbo la Nanyamba wamesema mazingira aliyotoweka mgombea huyo yanaonyesha wazi kuna mchezo mchafu umefanywa ili...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboNYUMBA YA NAIBU SHEHA, TIBIRINZI YACHOMWA MOTO NA WATU WASIOJULIKANA
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
CUF haitasimamisha mgombea ubunge Kalenga
INAWEZEKANA mnyukano wa kuwania ubunge katika Jimbo la Kalenga ukabaki kwa vyama hasimu ambavyo ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya Chama cha...
9 years ago
Habarileo19 Sep
Mgombea ubunge wa CUF ahamia CCM
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepasuka wilayani Mafia, mkoani Pwani, baada ya aliyeidhinishwa kugombea ubunge Mafia, Mohammed Albadawi, kuhama chama hicho na kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
9 years ago
Mtanzania31 Aug
Duni amaliza utata wa mgombea ubunge Ukawa Mtwara
Na Elias Msuya, Mtwara
MGOMBEA mwenza wa urais wa Chadema kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Haji Duni, amemaliza utata wa mgombea ubunge wa umoja huo jimbo la Mtwara baada ya kumtangaza Maftah Hanachuma Mchumo kuwa ndiye atakayepeperusha bendera za vyama vinavyounda umoja huo.
Utata wa mgombea wa Ukawa katika jimbo hilo ulitokana na Chadema kumsimamisha Joel Nanauka, NCCR Mageuzi, Uled Hassan Abdallah na CUF, Maftah Machumo.
Kabla ya Duni kumtangza Maftah, Makamu mwenyekiti...
9 years ago
Mwananchi13 Nov
Mgombea ubunge CUF akwama kufungua kesi Mahakama Kuu
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhk5UnKluLgVgIGUEU3kQFW92R8hCumRhItevvfdkNzos1Kbwc42R-M7jYiYvD13B2WoQkJOQXNVLnH*2fsULw5c/13.gif)
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE (CUF) AMUWEKEA PINGAMIZI WA CHADEMA
9 years ago
VijimamboWATU 9 WAJERUHIWA KATIKA VURUGU KATI YA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA MBEYA MJINI NA WAFUASI WA CCM
11 years ago
Habarileo13 Jan
Watu wasiojulikana wahujumu gridi ya Taifa
WATU wasiojulikana wilayani Kahama, wameangusha nguzo mbili kubwa za chuma zinazosafirisha umeme wa gridi ya Taifa na kuchukua baadhi ya vyuma. Hali hiyo imesababisha maeneo kadhaa mikoa ya Mwanza, Geita na Shinyanga kukosa umeme.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Aug
Wamasai wala mkong’oto na watu wasiojulikana ZNZ
Habari tulozipata si muda mrefu kwamba Wamasai wamepewa kichapo na watu wasiojulikana Kundi la Wamasai 8 walikuwa katika ghasia hizo ambapo walikuwa wakishambuliwa ba kundi la Ubayaubaya. Ugomvi ulianzia mitaa ya Darajabovu ambapo Wamasahai hao walikabiliana […]
The post Wamasai wala mkong’oto na watu wasiojulikana ZNZ appeared first on Mzalendo.net.