Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Duni amaliza utata wa mgombea ubunge Ukawa Mtwara

duniNa Elias Msuya, Mtwara

MGOMBEA mwenza wa urais wa Chadema kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Haji Duni, amemaliza utata wa mgombea ubunge wa umoja huo jimbo la Mtwara baada ya kumtangaza Maftah Hanachuma Mchumo kuwa ndiye atakayepeperusha bendera za vyama vinavyounda umoja huo.

Utata wa mgombea wa Ukawa katika jimbo hilo ulitokana na   Chadema kumsimamisha Joel Nanauka, NCCR Mageuzi, Uled Hassan Abdallah na CUF, Maftah Machumo.
Kabla ya Duni kumtangza Maftah, Makamu mwenyekiti...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA KAMPENI WA DUNI HAJI MGOMBEA MWENZA CHADEMA HUKO MTWARA



Mgombea Mwenza CUF - UKAWA, Juma Duni Haji akiwahutubia mamia ya wakazi wa Mtwara kwenye kampeni Jana 

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KISARAWE RASHID MWISHEHE "KINGWENDU"



 Mgombea Mwenza wa Ukawa Juma Duni Haji akipokea kadi ya CCM kutoka kwa mwanachama wa chama hicho, Kasim Msham aliyekihama na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinji Mkoa wa Lindi. (Picha na Francis Dande)Kadi za CCM zilizorudishwa na wanachama wa Chama hicho na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinjimkoa wa Lindi.
 Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Majengo wilayani Bagamoyo. Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI ANGURUMA JIJINI TANGA

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika uwanja wa Tangamano mjini Tanga.Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akipokea saluti kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Tanga (OCD), Omary Ntungu alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Tanga kwa ajili ya mikutano ya mkoani.Makamu Mwenyekitiwa Chadema, Zanzibar, Saud Issa Mohamed akimlaki Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI MKOANI RUVUMA

 Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na mgombea udiwani wa Ukawa kata ya Tingi wilaya ya Nyasa, Bosco Mapunda alipowasili katika kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma kwa ajili ya mkutano wa kampeni kijijini hapo. (Picha na Francis Dande) Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na baadhi ya madiwani wa Ukawa wa Kata ya Tingi alipowasili katika kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma kwa ajili ya mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Nyasa.

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI IRINGA VIJIJINI

 Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji na akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Isimani Iringa vijijini.Isimani Iringa vijijini, (Picha na Francis Dande)
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji na akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Isimani Iringa vijijini.Isimani Iringa vijijini.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa na mgombea ubunge jimbo la Isimani Iringa vijijini, Patrick Ole Sosopi.Wasanii wa kikundi cha ngom za...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA HAJI DUNI AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI URAMBO, TABORA

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mamia ya wakazi wa jimbo la Urambo Mashariki mkoani Tabora wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mwananchi Square. (Picha na Francis Dande)Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akimkabidhi kadi ya Chadema aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Kata ya Ugala Urambo, Tabora, Hamidu Mussa baada ya kukiahama chama hicho na kujiunga na Chadema wakati wa mkutano wa kampeni...

 

10 years ago

Michuzi

MAELFU WAJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI ZA BABU DUNI, MGOMBEA MWENZA WA UKAWA BUSANDA GEITA

 Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwapungia mkono wananchi waliofurika katika mkutano wa kampeni wa uliofanyika katika kata ya Katolo jimbo la  Busanda mkoani Geita. Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita. Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA NA KUBOMOA NYUMBA YA MGOMBEA UBUNGE CUF MTWARA.

Kundi la watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wamevamia na kuibomoa nyumba ya mgombea ubunge wa chama cha wananchi CUF jimbo jipya la nanyamba wilaya ya mtwara vijijini, twahiri saidi baada ya kushindwa kurudisha fomu ya ubunge na kutokomea kusiko julikana huku simu zake za mkononi zikiwa hazipatikani.


Wakizungumza kwa masikitiko baadhi ya viongozi wa chama hicho na wanachi wa jimbo la Nanyamba wamesema mazingira aliyotoweka mgombea huyo  yanaonyesha wazi  kuna mchezo mchafu umefanywa ili...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa wavutana mgombea ubunge Nzega Vijijini

Ziara ya Mgombea mwenza urais kwa tiketi ya Chadema kupitia Ukawa, Juma Duni Haji imeingia dosari baada ya viongozi na wafuasi wa vyama hivyo ndani ya jimbo la Nzenga Vijijini kutoridhiana mgombea atakayewakilisha jimbo hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani