Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnigeria atwaa ubingwa wa dunia wa Scrabble

Raia mmoja wa Nigeria amewashangaza ulimwengu wa mchezo wa kujenga maneno ya kizungu -Scrabble, kwa kumshinda muingereza na kuibuka bingwa wa dunia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Djockovic atwaa ubingwa wa US Open

KUBWANEW YORK, MAREKANI

NYOTA namba moja kwa ubora duniani katika mchezo wa tenisi, Novak Djockovic, amefanikiwa kuchukua ubingwa wa wazi nchini Marekani baada ya kumchapa mpinzani wake, Rodger Federer, anayeshika nafasi ya pili kwa ubora duniani.

Novak amemshinda Federer kwa jumla ya seti 6-4 5-7 6-4 6-4, kutokana na ushindi huu mchezaji huyo jumla atakuwa ametwaa mataji matatu ya Grand Slam mwaka huu.

Mbali na kuchukua mataji matatu mwaka huu, mchezaji huyo hilo litakuwa ni taji lake la 10 la...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nadal atwaa ubingwa wa Hamburg

Nyota namba kumi kwa ubora wa mchezo wa tenesi duniani Rafael Nadal ametwaa ubingwa wa michuano ya wazi ya Hamburg

 

11 years ago

Tanzania Daima

King Class Mawe atwaa ubingwa wa WPBF

BONDIA Mtanzania, Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ amerejea nchini na ubingwa wa WPBF akitokeza Zambia ambako alifanikiwa kumpiga kwa KO, Mzambia Mwansa Kabinga katika pambano lililofanyika Uwanja wa Arthur Davis,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aguero: Messi atatupa ubingwa wa Dunia

MSHAMBULIAJI wa Manchester City ya England, Sergio Aguero amesema kwamba yuko fiti na tayari kwa ushitikiano hatari na nyota wa FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi, kuongoza jaribio la timu...

 

11 years ago

Mwananchi

Shahanga: Nilikaribia kutwaa ubingwa wa dunia

Mwaka 1983 mwanariadha wa Tanzania, Gidamis Shahanga alikamata nafasi ya tano katika mashindano ya riadha ya dunia yaliyofanyika huko Helsinki, Finland. Shahanga alishika nafasi hiyo baada ya kukimbia mbio za mita 10,000 kwa kutumia dakika 28:01:93.

 

11 years ago

GPL

KOCHA ALIYEIPA SPAIN UBINGWA WA ULAYA AFARIKI DUNIA LEO

Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Hispania Luis Aragones amefariki dunia, akiwa na miaka 75, jumamosi ya leo katika clinic moja jijini Madrid, daktari Pedro Guillen amethibitisha. Kocha huyu atakumbukwa kwa kuiongoza Hispania katika awamu mpya ya mafanikio mnamo mwaka 2008, alipoiwezesha timu hiyo kutwaa kombe la EURO na baada ya hapo alistaafu na kumpisha Del Bosque. Aliifundisha Spain kuanzia mwaka 2004 - 2008. ...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Lewis Hamilton anyakua ubingwa wa dunia wa mbio za magari za Formula One

Dereva wa Uingereza, Lewis Hamilton ameibuka mshindi wa mbio za magari wa dunia, Formula One – Abu Dhabi Grand Prix. Hamilton akishangilia ushindi “Hii ni siku kubwa zaidi katika maisha yangu,” alisema dereva huyo mwenye miaka 29 aliyeendesha gari ya Mercedes Benz. Huo ni ushindi wa mara ya pili wa taji hilo baada ya mwaka […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani