Nadal atwaa ubingwa wa Hamburg
Nyota namba kumi kwa ubora wa mchezo wa tenesi duniani Rafael Nadal ametwaa ubingwa wa michuano ya wazi ya Hamburg
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Djockovic atwaa ubingwa wa US Open
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA namba moja kwa ubora duniani katika mchezo wa tenisi, Novak Djockovic, amefanikiwa kuchukua ubingwa wa wazi nchini Marekani baada ya kumchapa mpinzani wake, Rodger Federer, anayeshika nafasi ya pili kwa ubora duniani.
Novak amemshinda Federer kwa jumla ya seti 6-4 5-7 6-4 6-4, kutokana na ushindi huu mchezaji huyo jumla atakuwa ametwaa mataji matatu ya Grand Slam mwaka huu.
Mbali na kuchukua mataji matatu mwaka huu, mchezaji huyo hilo litakuwa ni taji lake la 10 la...
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Mnigeria atwaa ubingwa wa dunia wa Scrabble
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
King Class Mawe atwaa ubingwa wa WPBF
BONDIA Mtanzania, Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ amerejea nchini na ubingwa wa WPBF akitokeza Zambia ambako alifanikiwa kumpiga kwa KO, Mzambia Mwansa Kabinga katika pambano lililofanyika Uwanja wa Arthur Davis,...
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
TBL ilivyoanza safari ya ‘Hwk Hamburg’ Tanzania
KATIKA kasi ya mabadiliko ya uchumi wa Tanzania, ujuzi wa kazi ni moja ya mahitaji makubwa, lakini cha kusikitisha ni kwamba kwa kiasi kikubwa ujuzi huu tunaupata kutoka nchi za...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4r4IUsv1uf0/VhIKF5n-H8I/AAAAAAAAirE/6GXJpV4g3kM/s72-c/20150929_144609.jpg)
BALOZI MARMO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MJINI HAMBURG
![](http://3.bp.blogspot.com/-4r4IUsv1uf0/VhIKF5n-H8I/AAAAAAAAirE/6GXJpV4g3kM/s640/20150929_144609.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-G88ywijY1R4/VhIKFgFf_4I/AAAAAAAAirA/ks96mUxSrlE/s640/20150929_113624.jpg)
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Murray, Nadal watamba
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Nadal amchapa Murray
10 years ago
BBCSwahili19 Aug
Rafael Nadal ajiondoa US Open
9 years ago
TheCitizen31 Aug
Federer, Nadal at US Open crossroads