Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aguero: Messi atatupa ubingwa wa Dunia

MSHAMBULIAJI wa Manchester City ya England, Sergio Aguero amesema kwamba yuko fiti na tayari kwa ushitikiano hatari na nyota wa FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi, kuongoza jaribio la timu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Phiri: Ngassa atatupa ubingwa

Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Mrisho Khalfani Ngassa. Wilbert Molandi,Dar es Salaam
KUTUA kwa kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Mrisho Khalfani Ngassa, kumempa matumaini Kocha Mkuu wa Free State Stars, Kinnah Phiri kufanya vyema msimu ujao wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL) na kusema anaweza kuwafanya wakatwaa ubingwa. Hivi karibuni kiungo huyo alisaini mkataba wa miaka minne kuichezea timu hiyo.
Ngassa...

 

5 years ago

GIVEMESPORT

From Aguero to Messi: The 10 most-watched football goals on YouTube

From Aguero to Messi: The 10 most-watched football goals on YouTube  GIVEMESPORT

 

10 years ago

Mwananchi

Messi, Aguero waikamata Ulaya kwa mabao

 Ulikuwa usiku wa kipekee kwa nyota wa Argentina baada ya Lionel Messi na Sergio Aguero walipoitikisa Ulaya kwa mabao yao matatu ‘hat-trick’.

 

9 years ago

MillardAyo

Kauli ya Sergio Aguero kama unafikiria kuwa Lionel Messi atajiunga na Man City …

Staa wa kimataifa wa Argentina anayekipiga katika klabu ya Manchester City, Sergio Kun Aguero amekiri kuwa angependa kumuona mshambuliaji wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi akijiunga na Manchester City japokuwa anaamini sio rahisi kufanya uamuzi huo. Ni zaidi ya mara mbili Lionel Messi anahusishwa kuhitajika na Man City, hata siku za […]

The post Kauli ya Sergio Aguero kama unafikiria kuwa Lionel Messi atajiunga na Man City … appeared first on...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mnigeria atwaa ubingwa wa dunia wa Scrabble

Raia mmoja wa Nigeria amewashangaza ulimwengu wa mchezo wa kujenga maneno ya kizungu -Scrabble, kwa kumshinda muingereza na kuibuka bingwa wa dunia.

 

11 years ago

Mwananchi

Shahanga: Nilikaribia kutwaa ubingwa wa dunia

Mwaka 1983 mwanariadha wa Tanzania, Gidamis Shahanga alikamata nafasi ya tano katika mashindano ya riadha ya dunia yaliyofanyika huko Helsinki, Finland. Shahanga alishika nafasi hiyo baada ya kukimbia mbio za mita 10,000 kwa kutumia dakika 28:01:93.

 

11 years ago

GPL

KOCHA ALIYEIPA SPAIN UBINGWA WA ULAYA AFARIKI DUNIA LEO

Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Hispania Luis Aragones amefariki dunia, akiwa na miaka 75, jumamosi ya leo katika clinic moja jijini Madrid, daktari Pedro Guillen amethibitisha. Kocha huyu atakumbukwa kwa kuiongoza Hispania katika awamu mpya ya mafanikio mnamo mwaka 2008, alipoiwezesha timu hiyo kutwaa kombe la EURO na baada ya hapo alistaafu na kumpisha Del Bosque. Aliifundisha Spain kuanzia mwaka 2004 - 2008. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani